Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Yaani Marvel wapuuzi sana.Release date hizo:
View attachment 855953
Ingia Google download, Vidmate ni app ambayo utawezea download movies kupitia YouTubeHivi napataje program ya kudownload movie kwa njia ya simu?
Shukrani mkuuIngia Google download, Vidmate ni app ambayo utawezea download movies kupitia YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
hahh... ila Bautista a.k.a Drax kashatoa siri yupo kwenye Avengers 4 so tutegemee kuwaona waliopotea wanarudi!..Yaani Marvel wapuuzi sana.
Wanatoa Spider Man baada ya Avengers teh teh teh!
Yaaani hapo baada ya dogo kurudishwa tena...........
Mkuu Equilizer Imetoka YTS
Tayari mara hii ???Mkuu Equilizer Imetoka YTS
Captain Marvel ndiyo itakuwa mwendelezo wa Infinity War au ??hahh... ila Bautista a.k.a Drax kashatoa siri yupo kwenye Avengers 4 so tutegemee kuwaona waliopotea wanarudi!..
Yeah ukipata muda embu pitaTayari mara hii ???
Naomba link maana mimi hapa naona moja inaitwa Hereditary, Ocean's 8, Avengers na Deadpool.Yeah ukipata muda embu pita
Infinity War ni part 2 na Captain Marvel itaanzia miaka ya zamani sio current, nadhani kama ilivyoanza Captain America:First AvengerCaptain Marvel ndiyo itakuwa mwendelezo wa Infinity War au ??
Anhaaa, hivyo Thanos mpaka Avengers tena ??Infinity War ni part 2 na Captain Marvel itaanzia miaka ya zamani sio current, nadhani kama ilivyoanza Captain America:First Avenger