Movie Reviews

Movie Reviews

Batman nilitizama kama katuni nafkiri 1996 kama sikosei. Hata star wars pia yaani kabka ya movie hizo katuni ndo za kwanza kabisaa. Ila nasikitika Samurai Jack my favourite hawajamtolea movie mpaka leo
wakiitolea Eddy, Ed n' Edin itakua poa sana
 
wakiitolea Eddy, Ed n' Edin itakua poa sana
mkuu unanikumbusha mbali sana dah... nilikuwa namkubali san yule eddie mwenye kofia nyeusi yeye alikuwa na mwenye akili lakini ndo looser yaani anapelekwa pelekwa na yule chizi mwenye shati Ed wa kwanza haaaaaa....pia kuna Courageous dog, power puff girls, etc hivi ulitizama kind next door number 1, 2,3,4,5?
 
Unazisahau vipi Garfield, Dexters' Lab etc. hizo kids next door kama nazikumbuka hivi!.
 
Unazisahau vipi Garfield, Dexters' Lab etc. hizo kids next door kama nazikumbuka hivi!.
Mkuu hahaaa...hiyo lab ya Dexter siwezi isahau ilivyikuwa inapata tabu toka kwa Didi....kuna Wale wa stone age halafu kuna ile inakuwaga na nyimble ya barbie gal in a barbie world.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye The Mask 1 alitisha!.
Humo kuna scene anaongea Kiswahili pia kuna msemo wake maarufu ndo uliopoanzia" ALRIGHT THEN".
He was very good yule jamaa dah...nafkiri nimetazama movie zake zote kama sikosei. Ila siku hizi ana msongo wa mawazo na sijui anakuwa thinker yaani namfatiliaga simwelewi siku hizi.
 
Mkuu Wick , Red Giant hii nadhani itairudisha DC kwenye mstari aiseeee.
Hebu angalia CGI zilivyotulia, hahahahahahahahahha nimefurahi sana kumwona Black Manta

Hii sijaiona but naipa 98% hakuna utoto kama SHAZAM!..
Ila action&CGI zinatisha si mchezoo hapa walituliza kichwa DC!.. Wajaribu kuirudisha na Green Lantern + Batman mtindo huu sasa!!
 
Back
Top Bottom