Movie Reviews

Movie Reviews

Jana niliicheki Spectral. Sifa mlizoipa hapa ni za kweli kabisa. Movie nzuri na ya akili.
 
Weapon X ya Dr styriker au ipi??? X-24
Weapon XI au Wade Wilson au Stryker alimuita Deadpool yule jamaa aliyewekewa nguvu za watu wote akashonwa na mdomo sababu ya kuongea sanaaa!!..Kwenye Wolverine Origins!.
Ukiangalia Deadpool 2 mwishoni anaenda jiua kote alipoigiza!..
 
Kama itaanza upya ndo itawachanganya zaiidi wasiofahamu.... kwa mantiki io hakutakuwa na Xavier??? Either magneto sio?
Umeangalia Spider man na Amazing Spiderman!?.. Tofauti yake umeiona wapi!?..
 
Avengers: infinity war

Movie nzuri, script nzuri, visual effects nzuri, kila kitu kiko poa.
Kilichoniboa ni kubadilisha aina ya muvi na kuifanya na genre kama ya Lord of the rings.
Timezone live action za comic books zina mwanzo na mwisho iwe star wars au X-Men au hata za DC sasa hii imeenda halafu wanavuka mwaka ili waimalizie. Ndonini sasa? Just finish the damn thing.
Nimeisubiria Amazon for more than 3 months lakini sijaridhika kwa kweli. Bora ningesubiri mpaka mwakani au wangetoa zote mbili kwa wakati mmoja.
Damn you MCU and the Russo brothers.
All in all the movie is breathtakingly beautiful.

Waweza inunua hapa au subiri DVD inatoka mid August.
Amazon product ASIN B07CKQ4R7X
 
Sometimes i really don't undetstand the vigezo wanachukua...
for instance i never really understood Cameroon kutopata Award katika
Avatar na he has really played his part with the 3D with the movie..
Academy kuna siasa sana nilichokaga kwa Leo Di caprio hawakumpa ktk Titanic wala James Cameroon dirctor wakaja kumpa leo ktk reverent.....
 
WTF wametoa na Animation yake??
Watu wanajua kusaka mane
Hii animation ndio kisa original cha Black Panther kwenye Comic ile movie Director aliamua kutengeneza upya stpry tu!.
Umecheki Ulysess Claw alivyo katili zaidi ya yure kwenye movie aliyekufa kizembe.
 
Hii animation ndio kisa original cha Black Panther kwenye Comic ile movie Director aliamua kutengeneza upya stpry tu!.
Umecheki Ulysess Claw alivyo katili zaidi ya yure kwenye movie aliyekufa kizembe.
yah sio black panther tu, avengers, captain america, thor, spiderman, hulk, black widow zina animes zao toka miaka ya 1964 uko

dc comics pia akina superman, batman, wana animes zao na ndio zilianza kwanza, bila kusahau novels za vitabu
 
Yeah nadhani wanakimbia gharama na kutambulisha character wengi kwa wakati mmoja!.
Humu ndani captain america, jaggernaut, ulyses claw, knight rider etc wote ndani kiasi kwenye movie zingeweza poteza mvuto wa star wake!.
 
yah sio black panther tu, avengers, captain america, thor, spiderman, hulk, black widow zina animes zao toka miaka ya 1964 uko

dc comics pia akina superman, batman, wana animes zao na ndio zilianza kwanza, bila kusahau novels za vitabu
Batman nilitizama kama katuni nafkiri 1996 kama sikosei. Hata star wars pia yaani kabka ya movie hizo katuni ndo za kwanza kabisaa. Ila nasikitika Samurai Jack my favourite hawajamtolea movie mpaka leo
 
Back
Top Bottom