Movie Reviews

Movie Reviews

Fast and Furious 9 dah imejitahid lakin I expected more baadhi ya punchlines zao nlkuwa naweza kuzimalizia japo movie ndio naiona for the first time, plot twist ilikuwa ionaonekana haijastua, haikuwa intense kama zile nyingine binafsi Fast 7 ndio naiona ni [emoji91].

Wamegive away zike scenes kali zote kwenye trailer ili ku hype watu ndani hamna maajabu.
Ila ni Worth watching japo huo ni mtazamo wangu sio facts, na rate 4.5/10
Umeshusha au theater mkuu?
 
Black Widow 2021 my personal review
Spoiler Alert [emoji599]

Movie iko sawa ni worth watching kabisa si unajua Natasha is like this sexy..action goddess[emoji28]
Ila villain Task master ni Disappointment kabisa mwanzoni alianza na crazy stunts nkasema aisee leo nimefika baada ya hapo duh si akapoteana na yeye, I expected more vile uwezo wake ku mimic fighting moves nkajua atakuwa anapiga style zote yaani sema kajitahid kupiga kama Cap na black-panther lakin dah bado nlitegemea kuona kifinyo cha ajabu kutoka kwake, widow na red guardian turned out imekuwa just normal movie sio kiwango cha blockbuster.

Wamenivunja moyo aisee Widow na Fast &Furious wote wamechochora mwaka huu labda movie za MCU zijazo

I am rating it 7.5/10 [emoji294]️
 
The Ice Road
this is not a good movie to watch.
The idea was fantastic. lakini wamezingua ktk action. Action ni za ovyo na siyo thriling.
Yaani wangeifanya kama Death Race au ile ya jangwani jangwani nimesahau jina lake.
dont waste your MBs
 
Ya Jangawani ni Mad Max, umechelewa [emoji28]nshaishusha natafuta mda wa kuichek duh, mbona Liam Neeson huwa anatishaga au kashatuzoea
 
nimeicheki iko vizuri japo naona kama Liam amekuwa mtu mzima sana hata action kidogo zinaanza kumtupa mkono
 
Ya Jangawani ni Mad Max, umechelewa [emoji28]nshaishusha natafuta mda wa kuichek duh, mbona Liam Neeson huwa anatishaga au kashatuzoea
Yah....yes mad max the fury road....mzeee ile idea iko pefect na action ni fantastic sasa Ice Road idea iko vizuri sema actions hapana mzee yaaani action hazistui....ile Mad Max nshacheki ziote mbili na zipo safi kbsaaaaa....sasa ningewashauri waunganishe ice roads na mad max yaaani kama marvel wanavyofanya yaaani ice roads iende number 2 halafu number 5 wale watu kule kwa akina Joe wapate inshu ya dhahabu au diamond wasafiri umbali kwenda kuvamia mgodi then wapite ktk ice roads Ice yaani tuone mapambano ktk ice....am sure it will be a damn fantastics
 
Ice road nimeipenda idea, storyline iko nzuri sana ni kali na visual zake ziko stunning binafsi nimeielewa.
Na kuhusu mad max na hiyo ice road hawawez kuziweka pamoja timeline ni tofauti ile kule mad max ni post apocalyptic version ujue.

Tomorrow War kwa ambae hajaangia aangalie aisee hii Movie saa la kwanza tu unalizika yaani imeshiba contents, kwa hizi movie nyingine mediocre na saa la kwanza la movie hii utachagua hii movie.
Kuna makosa madogo tu ila otherwise ni movie kali nathubutu kusema zaid ya Fast 9 hata Black-Widow
 
wakuu nisaidieni, huyo jamaa katika picha naambia ni movie star alifariki kabla ya hata movie yake ya mwisho kutoka.. natafuta jina lake na hiyo movie.. ingawa hiyo movie alishaimaliza.. ilitoka wakati ashakufa. nisaidieni please
1627025437601.jpg
View attachment 1864397
 
Back
Top Bottom