Movie Reviews


kweli mzee time ni tofauti sema action za mad max nimependa kwa kweli.....Ice road ni nzuri action hazistui bwana.....Tomorrow war iko poa saana....halafu at first nilihisi muedelezo wa zile story za Allien Convenant kumbe ni tofauti kabisaaa hivi muendelezo wa Allien Convenant haujatoka tuu MALCOM LUMUMBA Da vinci
 
After a long and patient wait, hatimaye F9 imetoka KWA quality ya Brip, nimeishusha KWA morali. Can't wait for snake eyes

Snake eyes nmeshusha kwenye torrent site flan ambayo sio popular ndio niliikuta inandai password iko as Zipped Folder sijui ndo nshapigwa hata nashindwa kuifungua 2Gigs za hasara
 
Task Master wamembania sanaaaaa, Ila Kwa ule uwezo wake sio mchezo nimemkubali, she means business. I hope to see her katika movies zijazo za MCU. She is badass aisee.

Respect.
 
Task Master wamembania sanaaaaa, Ila Kwa ule uwezo wake sio mchezo nimemkubali, she means business. I hope to see her katika movies zijazo za MCU. She is badass aisee.
View attachment 1875775
Respect.

I know she is..sema huko mbele kwenye movie nyingine wasimbanie sana si umeona ile first fight scene yake ya kwenye daraja na Nat yaani alikuwa ni balaa, ilibid aende na mwendo uleule nlitaman kuona actions nyingine akiwa kama Hawkeye za bow and arrows
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…