Movie Reviews

Movie Reviews

Kila nkisoma hili jina naonaga James MacVoy
ila I have to say mzee unapataga wapi mda wa kuziangalia hizi zote au biashara yako iko kwenye hii Industry?
Hahaaaa...
I think is addiction may be.
I ought to stop now I guess.
Ila mara nyingi sisahau movie.
 
Hahaaaa...
I think is addiction may be.
I ought to stop now I guess.
Ila mara nyingi sisahau movie.

If that makes you feel better and help you connect with yourself haina haja ya ku stop ila unaweza punguza kama ukihisi inakupunguzia productivity
 
Naombeni jaman link ya single movie ya korea inaitwa The Prison ya 2017 naombeni iwe chini ya 300MB
 
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo. Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.

"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.

 
Naomba jina la hii muvi tafadhali. Jamaa kama akili zimeyumba linaua watu kimashara
Screenshot_20230710-221258.png
 
Wadau mwenye mbadala wa netnaija atupe link, maana hali ni tete sijui ni nini kimewakuta netnaija
 
Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!
Inaitwaje hii movie?
 
Back
Top Bottom