Movie Reviews

Kila nkisoma hili jina naonaga James MacVoy
ila I have to say mzee unapataga wapi mda wa kuziangalia hizi zote au biashara yako iko kwenye hii Industry?
Hahaaaa...
I think is addiction may be.
I ought to stop now I guess.
Ila mara nyingi sisahau movie.
 
Hahaaaa...
I think is addiction may be.
I ought to stop now I guess.
Ila mara nyingi sisahau movie.

If that makes you feel better and help you connect with yourself haina haja ya ku stop ila unaweza punguza kama ukihisi inakupunguzia productivity
 
Naombeni jaman link ya single movie ya korea inaitwa The Prison ya 2017 naombeni iwe chini ya 300MB
 
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo. Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.

"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.

 
Nahitaj kudownload movie za JAMES BOND mpk zile za zaman naombeni link au site nikadownload
 
Wadau mwenye mbadala wa netnaija atupe link, maana hali ni tete sijui ni nini kimewakuta netnaija
 
Inaitwaje hii movie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…