Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
True mpaka unachukia!!..Anabelle kuna ujinga mtupu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True mpaka unachukia!!..Anabelle kuna ujinga mtupu..
Hivi umeifatilia Legend!?. Me niliishia jamaa alipojua mke wake ni secret Agent na jina lake sio lake!!.. Alikuja tambua jina lake halisi?, maana inaonekana muongo mpaka akasahau anaitwa nani yeye mwenyewe!.
I mean 7 maana niliona trela lake EATVPrison Break!?...si ilishatoka kitambo hadi ikaisha au season 7 unamaanisha?
Vitu vingine havina hata mantik kwakweli..How come This..Ni mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Dah Niliishia season 1 tu hiyo series nikaona inakuaje tena star mwenyewe hajijui jina lake!..Ni kama ile Blindspot tu hahahahhHahaha, Legend.
Nimefuatilia bwana , Mwishoni alikuja kugundua kwamba yeye Jina lake anaitwa Aleksey na alikuwa ni Jasusi wa KGB.
Kama unakumbuka alikuwa anapigwa viboko kule shule na yule Mwalimu wake moja hivi ni Muingereza ali defect akakimbilia Soviet Union ndiyo akawa anaendesha zile Programu. Ilifika kipindi Jamaa alidanganya sana bahati mbaya akingia kwenye mikono ya SVR ya Urusi wakamwambia kwamba wewe ni Jasusi wetu na faili lake toka utotoni wakamletea..!
Umeona eeh ??Vitu vingine havina hata mantik kwakweli..How come This..
Simba?? 😀😀😀 khaa nilitegemea labda Nyoka au kuna moja ya wanigeria inaitwa danger zone ina Mijusi mikubwa kama mamba yana meno kabisa dah yanameza watu si mchezo nilikuwa mdogo enzi hizo nilikuwa siweki miguu chini maana kwenye kochi au kitanda maana nilihisi kama mijusi ile ipo uvunguni 😀😀😀Hata mkuu me horror movie sio type yangu kabisa!. Nakumbuka nilikuwa nikiangalia movie za Simba silali vizuri usiku kama zile Lion of Tsavo na Prey!!..
Juzi nilifatilia Annabelle: creation ule ujinga wao ikachukia kabisa!!.. Au ile Circle, wrong turn, hills have eyes,scream, drag me to hell!!.Naishia kuwachukia tu!!.
Kuna moja ilikuwa inaitwa Crisis umeicheki ??Dah Niliishia season 1 tu hiyo series nikaona inakuaje tena star mwenyewe hajijui jina lake!..Ni kama ile Blindspot tu hahahahh
Hiyo sijajua aseh!..Ngoja niicheki maana kipindi PB inatoka nilikuwa nafatilia Star Trekk; dicovery na The Gifted.I mean 7 maana niliona trela lake EATV
Duh Mungu alisusa?? Haahaaa itabidi niisake hiyo kumbe ina content nzito hivyoNi mwendelezo wa Ile Movie inaitwa Legion....!
Mungu alichukia akaondoka Mbinguni basi Malaika wakapata hasira wakawavamia wanadamu kwamba wao ndiyo wamefanya Mungu ahame mbinguni. Sasa Gabriel ndiye aliwaongoza kuwafutilia mbali wanadamu......!
Hadi leo huwezi nipeleka utalii mbugani hata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]Simba?? 😀😀😀 khaa nilitegemea labda Nyoka au kuna moja ya wanigeria inaitwa danger zone ina Mijusi mikubwa kama mamba yana meno kabisa dah yanameza watu si mchezo nilikuwa mdogo enzi hizo nilikuwa siweki miguu chini maana kwenye kochi au kitanda maana nilihisi kama mijusi ile ipo uvunguni 😀😀😀
Hiyo bado mkuu!!... Jina lake kama story ya Strike Back au?..Kuna moja ilikuwa inaitwa Crisis umeicheki ??
Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,Duh Mungu alisusa?? Haahaaa itabidi niisake hiyo kumbe ina content nzito hivyo
Fatilia na Luciferr shetani alichukua likizo kutoka kufanya yake!.. Sometimes akawa anasaidia binadamu!.. Au angalia Constantine!.Duh Mungu alisusa?? Haahaaa itabidi niisake hiyo kumbe ina content nzito hivyo
Inaitwa Crisis hivyo hivyoHiyo bado mkuu!!... Jina lake kama story ya Strike Back au?..
Hiyo itabidi niidownload usiku huu ina season ngapi so far???Mungu aliwatuma Malaika kuwamaliza wanadamu kwa dhambi,
Basi akamtuma Michael akaja lakini akajificha huku huku akasema hawezi kufanya hivyo kwasababu anajua Mungu anawapenda sana Binadamu na ile ilikuwa ni test tu kumwona alivyo. Akatumwa Gabriel wee bwana wacha aje na Legions of heaven bwana...Sasa hapo kati Mungu akaondoka Mbinguni na Malaika wakawa hawajui wafanye nini tena...Wakamalizia hasira zote huku kwa wanadamu....Walifutilia dunia nzima mbali...!
Soon ngoja niitafute.Inaitwa Crisis hivyo hivyo
Crisis (TV Series 2014) - Episodes - IMDb
Yaani ni balaa sana...Rating yake ni 7 kwenye Rotten Tomatoes.
Itafute japo wengi hawaijui kabisaa!
Inahusu nini hii crisis??Inaitwa Crisis hivyo hivyo
Crisis (TV Series 2014) - Episodes - IMDb
Yaani ni balaa sana...Rating yake ni 7 kwenye Rotten Tomatoes.
Itafute japo wengi hawaijui kabisaa!