Movie Reviews

Movie Reviews

The Gifted Niliishia wale mapacha wamewatenganisha yule dogo wa kiume na familia yake.. Vipi iliendelea!?..
Mwisho kabisa inaonyesha wanamshawishi Polaris ajiunge nao kuunda kundi lingine la mutants ambao watapigana na Sentinel Services.
 
Iam with you on this

Cc: wick
Kwenye Animation Thanos alipigwa na Robot la Iron man alopewa zawadi na baba yake, linaitwa peace kama sijasahau!. Lakini Darkseid alimpiga hadi superman, pona yao ni kumrudisha kwenye portal yake Apokolips
Kwenye Movies Thanos kashaonyesha ubabe, tusubiri Justice League nyingine kama Darkseid ataamua kuja kuimaliza kazi mwenyewe sasa!..
Ila jamani Darkseid ni mtata sana halafu anatisha hata sura, hacheki kama Thanos.
 
Yani kuona Shazam wamempa deal comedian nishaona DC wameshindwa hapo tuisubiri Aquaman na Cyborg tu!..
Ila Darkseid namkubali Thanos kwa ile njemba anakaa 🙂
Watu wanasema kua Aquaman wameiga BlackPanther
 
Ila wakuu Maw naye ni mtata. Alisumbua sana. Halafu anajisikia kishenzi
 
Ile anapaa kama kiruka njia? !! ila movie za mamonster huwa sizikubali sana. mpaka iwe na rate kubwa ndiyo nacheku.
si ndo hapo eti mbwa anapaa!!... Ila niliona hata hii skycrapper wanaiponda hivi..
Halafu dwayne kaingia na series ana hii ya Ballers.
 
Mchanganyiko. family, monster, SciFi, action. ila imeuza sana na imefanya poa kwenye reviews.
Tafuta na hii ya EXTINCTION. synthetic people (robot) wakawatimua binadamu duniani, binadamu wakakimbilia Mars kujipanga!.. Inavyoanza dunia inavamiwa qatu wanakufa ovyo sasa kuna jamaa mmoja alikua anaota hayo. Kumbe wale aliens waliovamia ndio binadamu wamekuja claim earth yao!.. Jamaa anajificha na familia yake mwishoni ndio anakuja jijua kumbe wao ni robots.
 
Xavier school of....
Wanakuja vizuri hawa watu tutegemee ushindani mkubwa..
But Green Lantern yeye harudi tena?
 
si ndo hapo eti mbwa anapaa!!... Ila niliona hata hii skycrapper wanaiponda hivi..
Halafu dwayne kaingia na series ana hii ya Ballers.
Wale wanyama walikuwa na mchanganyiko wa DNA za wanyama kibao. So pengine ni DNA ya kiruka njia ndiyo ilimfanya apae
 
Xavier school of....
Wanakuja vizuri hawa watu tutegemee ushindani mkubwa..
But Green Lantern yeye harudi tena?
Labda watamleta yule black sasa!!... hivi unajua aliyeact Cable ndio Thanos pia.
 
Labda watamleta yule black sasa!!... hivi unajua aliyeact Cable ndio Thanos pia.
Ndio nimelifahamu hilo leo. Na Ryan Raynold/Deadpool ndie alie act Green Lantern if you never know..
 
Kikorea hiyo au Kifilipino?🙂..
Wahindi sjui hawa aiseee nzuri
image_search_1533119476217.jpg
 
Ndio nimelifahamu hilo leo. Na Ryan Raynold/Deadpool ndie alie act Green Lantern if you never know..
Yeah ila si umeona wameifanyia reboot ina maana Green Lantern atakuwa tofauti tena, na Logan kisa chake kitabadirika sasa!!..
 
Back
Top Bottom