Movie Reviews

Movie Reviews

Wakuu kuna movie flani hivi

Watu wanakua na muda ambao watatumia kuishi kwenye mwili wao na unaonekana, pia unaweza kumwibia mwenzako muda wake.

Biashara kubwa ni ya muda, na watu wanauza muda wao ili wanunue vingine etc
Justine Timberlake yupo humo aliiba mda wa shefa.
 
Samahani wakuu. Mm siyo mtaalamu wa Movie sna. Naomba kuuliza. Yule Jamaa alie cheza movie ya 24 Hours. Ame toa movie nyingine? Kama ametoa ina itwaje ?
 
Back
Top Bottom