Movie Reviews

Movie Reviews

Kitu kipya cha clip ya Nakuogopa ingawa ni muziki wa kizazi kipya lakini ina changamoto katika uongozaji, upigaji picha n.k kama ilivyo katika Bongo Movie, changia review

NAKUOGOPA -AKIL THE BRAIN


Source: Akil Da Brain

Changamoto za utengenezaji wa hii clip ya muziki ambapo hata bongo movie hupata: (Behind the scene making of) : Nakuogopa a.k.a Kimora. Maoni movie na muziki wa kibongo tufanye nini kuzidi kufanya vizuri zaidi na kuteka tasnia ya movie na muziki eneo la Afrika Mashariki na Kati na hata Afrika nzima (Nollywood Nigeria au South Afrika)?



source: Khaleed mohd wa youtube
 
Last edited by a moderator:
to honest hangover 2 ni mbovu unaweza ukasema ni zile B-rated low budget movies ninayo, its too big ningeiupload hapa mkajibebea
 
kitabu chake kipo nikaona you tube movie yake inakuja and that was 2011 nikafikiri 2012 itakuwa tayari sasa naona kimya nisaidieni kama imeshatoka hii kitu naisuburi kwa hamu.

imeshatoka ipo mitandaoni
 
Im currently watching revenge, ila nimepewa season 1 tu. Inaonekana nzuri sana.

Ladies, kuna series ya ugly betty, ma ya modern family. Ni noma, kuweni waangalifu hata ndoa zitashake.

Revenge naipenda sana mamito..pia modern family yaani mbavu zangu hoi, I like Sofia Vergara's accent🙂)
 
Kuna hii series inaitwa hostages,hii movie unatakiwa uwe na GB kuanzia 8 na kuendelea
 
Jaribuni kuangalia muvi za kikorea wamekuja na makali sio ya kawaida tafuta series ya The man called God ya star aliyeact Jomong
 
Back
Top Bottom