Movie Reviews

Movie Reviews

Now watching ASSASSINATION GAMES.

Mimi tangu niache kusema dushua dushua kipindi kile. Nkajua yamepita. Haya huku majukumuni nakutana na hii filamu ya bwana mkubwa Jean-claude van damme. Hapa anaigiza kama muuaji wa kukodishwa. (Contract killer) anapata kazi ya kumuua bosi mkubwa hapo ujerumani na upande wa pili kuna muuaji anaeitwa "flint" jina la kuigizia. Ambaye miaka michache iliyopita bosi huyo alimvamia na kumpiga mkewe hadi akapooza mwili wote.

Wote hawa wenye miraba sita kama sio mitano na van damme mwenye kifua kama meza wanaungana baada ya kujua wanataka kumuua mtu mmoja.

Wakati huohuo bosi wake van damme anafatwa na anaetaka kuuliwa (polo) na kumpa dili la kumtafuta anaetaka kumuua (flint) naye bosi anamfata van damme kumbadilishia kazi. Badala ya polo sasa amuue partner wake flint. Enjoy! A must see [ action, romantic, drama, thriller]
 
nimemaliza revenge season 5 though ni za mud niliachaga season 2 kuangalia

week hii nimeangalia zile 3 zoote kwa mpigo
 
Nazsubr kwa ham

think like man too
captain america 2
the hobits 3
jupiter ascending
hercules
expandables
 
Kuna hii series mpya inaitwa crisis wadau imecmama sana
 
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.

The first one was great. But the second seemed somewhat recapitulating of events. They could have done better...maybe a different story wud have been nice.
Grown ups was nice and Grown ups 2 is better...that is how you make a second movie from the original.
 
kuna movies gani wakuu zilizoingia sokoni miezi hii ya karibuni?
 
Back
Top Bottom