Movie Reviews

Movie Reviews

jana nimewatch "Tyler Pery single moms club" uwiii ni nzuri sana

Its a movie u must watch.pia Noah" nayo iko njema sana
 
Guys kwa wale wa movie za action, kama bado hujaichek Lone Survivor (2013), u better find it and watch.
 
Pia captain America: the winter soldier nayo iko poa sanaa wadau
 
hiyo ya mwisho inaishiaje i mean S3!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mimi nimenunua hadi season 5 au ndio wale wanaziunganisha unganisha

Kama umenunua ni sio za kweli hizo. wanafupisha episodes ndio maana inakua ndefu inaenda mpaka season 5. officially imeishia season 3. grayson dead
 
Kama umenunua ni sio za kweli hizo. wanafupisha episodes ndio maana inakua ndefu inaenda mpaka season 5. officially imeishia season 3. grayson dead

na ile haikuishia hata gray son amekufa.............

nikakasirika hadi maana iliishia juu juu
 
Back
Top Bottom