Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
- Thread starter
-
- #81
Kuna hii hapa Journey to the west theme song......na Transformer sound track....nazikubar sana zile
Nilikuwa nasubiri mtu atakayeweka soundtrack ya mission impossible..!1. Pirate of Caribbean series
2. Mission impossible
3.James bond series
Dah umeniwahi mjomba. Game of Thrones ile series bana yani hatari sana. Ile theme yake yani siyo mchezoKitu cha game of thrones.... ile sound track ukiisikia hata kama uko mbali lazima akili ikae sawa!!!
Game of thronesIle soundtrack ni hatari, mpaka nimeidownload kabisa
Game of thrones wale ni hatari kwa kila kituIle soundtrack ni hatari, mpaka nimeidownload kabisa
Ni hatari Sana, kuna watu wanajuaGame of thrones
Game of thrones wale ni hatari kwa kila kitu
Mm mpaka nime download orchestra walio kuwa wanapiga hizo soundtrack... Ukikaa chini kusikiliza ni hatari (kama ni mpenzi wa instrumental lakin)Nilikuwa nasubiri mtu atakayeweka soundtrack ya mission impossible..!
Mkuu code za watu hizi kutumiana ujumbe
Hii paragraph ya mwisho umeandik nini maana ata sijakuelewa au uliandika ukawa unakitupa bafuni alafu umesimamia kidole
Habari
Katika movie theme song nazozipendaga ni hizi
1. Jurrasic park theme song hii kwangu ni the best napenda kile kinanda sana
2. Robocopy (1994) hiyo nayo ni nzuri naipenda
3. Behind enermy line 1995s hii ile theme song yake naipenda hasa pale ile F16 inapopaa kwenye ile manowari
4. Prison brake hii mnaijua wengi wenu
5. Embu ongezeni mnazozipenda