Movie: Soundtrack (theme song) ya movie unazozipenda

Movie: Soundtrack (theme song) ya movie unazozipenda

Kuna hii hapa Journey to the west theme song......na Transformer sound track....nazikubar sana zile

Shifooo na Bajie yaani hapo kama upo kanisani alafu wakati wa kutoka matangazo mengi unaweza kuchukia yaani na ukitoka ni mbio nyumbani
 
Main themes
1. Enter The Dragon
2. Scarface

Soundtracks
1. Waiting To Exhale.
2. Boomerang.
 
Mississipi Masala ya Denzel Washngton......kuna wimbo fulani hiviiiiiiiiiii aiseeeee
 
Nilikuwa nasubiri mtu atakayeweka soundtrack ya mission impossible..!
Mm mpaka nime download orchestra walio kuwa wanapiga hizo soundtrack... Ukikaa chini kusikiliza ni hatari (kama ni mpenzi wa instrumental lakin)
 
My Eternal.
Season ya Kifilipino

Na kuna movie moja ya Nigeria wamecheza Aki na Ukwa. Nakumbuka maneno ya soundtrack.

I stand for justice,
I stand for law...,
What I need,is human right.

NAIPENDA SANA
 
japo ni kitambo ila Mimi mpaka leo hii kitu ya antonio bendaras weka mbali na watoto... humo ndani anagonga nyuzi hatari,, huyu mzee gitaa kazaliwa nalo...DESPERADO

 
The great wall daaah drum zinapigwa mpk raha kusikia tune yake.
 
Mm napenda sana sound track ya narcos inavoanza ya tuyo sela by rodrigo amarante na sound track ya movie ya colombiana mwisho kabisa inaitwa hurt by jonny cash.
 
Habari

Katika movie theme song nazozipendaga ni hizi

1. Jurrasic park theme song hii kwangu ni the best napenda kile kinanda sana

2. Robocopy (1994) hiyo nayo ni nzuri naipenda

3. Behind enermy line 1995s hii ile theme song yake naipenda hasa pale ile F16 inapopaa kwenye ile manowari

4. Prison brake hii mnaijua wengi wenu

5. Embu ongezeni mnazozipenda

Mail Gibson, Brave heart
 
Back
Top Bottom