movie ya bongo yashinda tuzo hollywood

movie ya bongo yashinda tuzo hollywood

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
wazungu walipagawa, majaji hawakukaa kwenye viti muda wote walikuwa wanashangilia..shukrani kwa mtaalamu wa subtitle maana alisaidia sana kuitafsiri movie hii kali iliyoileta kwa heshima taifa la Tz
bongo movie.jpg
 
Ashukuriwe sanaaa....tupo juu
 
Kwani subtitle lazima..."kingreza" ndio kitauza movie au kuiga tu.
 
Bongo movie bana! Watu wenyewe inajulikana kuwa elimu yao ni unga unga mwana halafu wanang’ang’ania kuweka english subtittles kwenye vioja vyao. Ona sasa wanavyojidhalilisha
 
Jaman mbona fedheha kwa taifa??????? Uwiii mi simo jaman khaaaa hivi hawa bongo muv ni nan aliewaroga?????
 
wazungu walipagawa, majaji hawakukaa kwenye viti muda wote walikuwa wanashangilia..shukrani kwa mtaalamu wa subtitle maana alisaidia sana kuitafsiri movie hii kali iliyoileta kwa heshima taifa la Tz
View attachment 208315

Wanaotafsiri Kiingereza anahitajika kurudi shule.
 
Hollywood kuna tuzo mamia kwa mamia... huku zingine zikiitwa za Hollywood only because zinatolewa LA! Hebu tujuze mleta mada, ni tuzo zipi hizo ambazo ziliwafanywa wazungu wadate na movie zetu!!!! Huwa napata raha sana, wanapokuja wazungu hapa na camera zao na kusema eti ma-director wa Hollywood! Hivi nyie watu, Hollywood mnakufahamu au huwa mnaongea tu?
 
walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle ..tuzo zinaitwa the best african movies appreciated by hollywood
 
TENSES ni tatizo kubwa sana kwa 'Wasomi' wa nchi yetu,ata waheshimiwa wanapoongea hii lugha pale Mjengoni ili tatizo utaliona sana,ni shiiiiiiiiidaaaaaaaa
 
walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle ..tuzo zinaitwa the best african movies appreciated by hollywood
Sijawahi kuzikia hizo tuzo... tuzo pekee zinazokaribiana kwa jina ni African Movies Academy Award na for 2014 hakukua na nomination yoyote kutoka TZ! Anyway, unaposema "walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle" unamaanisha nini hasa?
 
Hiyo subtitle ni ya kizungu au kiingereza maana nahangaika kuelewa makusudio ya mwandishi...
 
Bora hata watafsiri kwa lugha za makabila maana kidhungu kimeshawashinda...
 
Sijawahi kuzikia hizo tuzo... tuzo pekee zinazokaribiana kwa jina ni African Movies Academy Award na for 2014 hakukua na nomination yoyote kutoka TZ! Anyway, unaposema "walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle" unamaanisha nini hasa?

Yaani mkuu umeichukulia seriously hii habari?? Iangalie kwa jicho la tatu utaelewa nini lengo la mtoa mada.
 
Back
Top Bottom