Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hiyo subtitle ni ya kizungu au kiingereza maana nahangaika kuelewa makusudio ya mwandishi...
yaani hizi subtitles za bongo movies ni aibu tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo subtitle ni ya kizungu au kiingereza maana nahangaika kuelewa makusudio ya mwandishi...
Hakuwa na sababu ya kupiga mafumbo... angepiga tu makavu live coz' hili la subtitle tumesema sana hapa... sasa ilibidi hadi ni-view hizo attached photos ndipo nifahamu anamaanisha nini... hawa ni kuwapa tu makavu manake wanatia kinyaa! Cha kuongea sawa, tunashindwa, hadi cha kuandika!! Upuuzi wao ndo ule ule tunaosema kila siku... mwandishi wa script huyo huyo, kisha anakjigeuza kuwa director, tena anajigeuza kuwa main character huku akimwelekeza Cameraman cha kufanya...Yaani mkuu umeichukulia seriously hii habari?? Iangalie kwa jicho la tatu utaelewa nini lengo la mtoa mada.
Tunahitaji mtu kama Diamond kama Bongo Movie... mtu ambae yupo willing ku-invest kwenye kazi yake ya sanaa! Nilitarajia Proin kwa vile pesa wanayo, wao wangeleta mabadiliko makubwa, lakini hamna kitu... wanapita mle mle na kufanikiwa tu kuondoa upuuzi wa Part I na Part II zisizo na sababu!Lengo ni kujitangaza kimataifa.......teh teh teh...
Don't tell me kwamba kuna kampuni inafanya haya mambo!! Mie nilidhani ni akina Johari wenyewe!!! Ni nani hao RJ? Au ni Ray & Johari? omg... it might be!!RJ COMPANY imezidi jamani uhovyooo wa subtitle
Hakuwa na sababu ya kupiga mafumbo... angepiga tu makavu live coz' hili la subtitle tumesema sana hapa... sasa ilibidi hadi ni-view hizo attached photos ndipo nifahamu anamaanisha nini... hawa ni kuwapa tu makavu manake wanatia kinyaa! Cha kuongea sawa, tunashindwa, hadi cha kuandika!! Upuuzi wao ndo ule ule tunaosema kila siku... mwandishi wa script huyo huyo, kisha anakjigeuza kuwa director, tena anajigeuza kuwa main character huku akimwelekeza Cameraman cha kufanya...
Hasira kwa lipi?pole boss ukimaliza hasira zako usisahau kujiandaa kukasirika juu ya ufisadi wa bandari, wizara ya maliasili,nssf zote hizo ni coming soon
Kwahiyo ndo unataka kusema nina wivu, au?sijui ndugu yangu maana umepanick kuonma the stupendous bongo flick imeshinda tuzo hollywood
duh... sa' kama ndo hivyo akishanyakua za Oscar c ndo basi tena itabidi tutafute pa kujificha~~tena wa kike muache johari afurahie tuzo yake ya kuitangaza bongo kimataifa