muvi ipi? Naona mawenge tu hapa.
wazungu walipagawa, majaji hawakukaa kwenye viti muda wote walikuwa wanashangilia..shukrani kwa mtaalamu wa subtitle maana alisaidia sana kuitafsiri movie hii kali iliyoileta kwa heshima taifa la Tz
View attachment 208315
Hollywood kuna tuzo mamia kwa mamia... huku zingine zikiitwa za Hollywood only because zinatolewa LA! Hebu tujuze mleta mada, ni tuzo zipi hizo ambazo ziliwafanywa wazungu wadate na movie zetu!!!! Huwa napata raha sana, wanapokuja wazungu hapa na camera zao na kusema eti ma-director wa Hollywood! Hivi nyie watu, Hollywood mnakufahamu au huwa mnaongea tu?
Sijawahi kuzikia hizo tuzo... tuzo pekee zinazokaribiana kwa jina ni African Movies Academy Award na for 2014 hakukua na nomination yoyote kutoka TZ! Anyway, unaposema "walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle" unamaanisha nini hasa?walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle ..tuzo zinaitwa the best african movies appreciated by hollywood
Sijawahi kuzikia hizo tuzo... tuzo pekee zinazokaribiana kwa jina ni African Movies Academy Award na for 2014 hakukua na nomination yoyote kutoka TZ! Anyway, unaposema "walitoa tuzo sababu ya hiyo subtitle" unamaanisha nini hasa?