Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Movie ya Michael inakuja 2026. Teaser ishatoka. Lions Gate wanasimamia show.
IMG_1410.jpeg

Kama haitoshi, Jaafar Jackson ataigiza kama Michael himself.
 
Huyo dogo atawezana na zile move za wacko jacko? maana ile moon walker tu ukiicheki jamaa ni kama nyayo za miguu zinarudi nyuma automatically bila kutumia nguvu
 
Good movie
Iko poa sana
Dogo ameitendea haki jina la uncle wake
 

Attachments

  • IMG_7261.jpeg
    IMG_7261.jpeg
    224 KB · Views: 20
Back
Top Bottom