Movie ya Shoga aliyecheza Tino

DKNY

Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
30
Reaction score
10
Mmeichek movie ya shoga ya Tino? Jamaa nampa big up sana, kwa kuwa kuna wanaume wachache wenye UTHUBUTU kama Tino, na GUTS pia!! It's hgh time we talk abt these things! Tusijifanye kwamba haya mambo hayapo! Bg up Tino!
 
Heading ingetakiwa iwe hivi Tino acheza move ya Shoga... some readers are too sensitive
 
Ninajitahidi sana kuwakubali mashoga lakini nimeshindwa, tafadhali msitulazimishe kuwatambua mashoga kwa sisi tunaoshindwa kuwatambua. Ni haki yetu pia.
True dat,it's ur right too!and no1 is forcing u 2accept them,wat am sayin is;2mekuwa 2nalifumbia macho kama vle halipo hli swala!2tambue,2kubali kama lipo,na TUKEMEE pia!
 
Hivi kwa nini tusipitishe sheria ya kuwanyonga hawa jamaa na waume zao. ndio maana nchi inalaniwa
 
Hivi kwa nini tusipitishe sheria ya kuwanyonga hawa jamaa na waume zao. ndio maana nchi inalaniwa

Nchi inalaaniwa kwasababu ya dhambi,hakuna dhambi kubwa na ndogo,dhambi ni dhambi,uasi umezidi nchi hii na hofu ya Mungu kushuka,si kwasababu ya mashoga hata wazinzi na wala rushwa pia!ikifika kunyongwa hata wewe waweza nyongwa kwa matendo yako!!
 
Hapa ni kuisajili KADHI tu na ndo itadili na vitu kama hivi, na kama mwizi anakatwa mkono na hawa wafanyweje !!?
 
Duuu naona hapa nimekosea njia, wazima lakini!!:twitch:
 
Kumbe mnaongelea filamu.......nilidhani kweli jamaa shoga.
 
:A S thumbs_down: MWANAUME KUPUMULIWA KISOGONI NI HERI UFE.
MIE HUWA NATAMANI KUWANYWESHA SUMU KABISA SITAKI KUWASIKIA WALA KUWAONA:twitch:
 
Ushoga saa nyingine ni ugonjwa, kuna watu ni wanaume lakini wanazaliwa na hormones za kike hivo kujikua wanawapenda wanaume wenzao bila kujua na mwishowe wanakuwa mashoga.

Mie sina noma na mashoga as long as hawahighasi.

Kumbukeni hujafa hujaumbika, tusiwatenge sana hawa jamaa manake hawakupenda kuwa na hormone za kike ilhali wao ni wanaume.
 
Kuna vitu vya kuigiza lakini siyo ushoga, coz tunachochea watoto na vijana wadogo waone ni kitu cha kawaida, Mwenyewe kasema mbona wengine wameigiza wauaji, wachawi na makahaba hawalaumiwi. Kuua katika mazingira fulani e,g self defence, jeshini/vitani kunaruhusiwa na justifiable,hata kupigana, kuigiza ukahaba as long as ni naturalsex kila mtu anafanya swala ni unafanya na nani mumeo au mkeo, ni kitu ambacho kinafanywa na kila binadamu rijali. Lakini homesexualism lazma iwe discourage kwa kutopewa any kind attention, ili watoto wasiige, otherwise attention wanayostahili ni kupingwa kwa nguvu zote BOOM BYE BYE INNA BATTY BWAI DEM!
 
Hiyo filamu ipigwe marufuku. Filamu nyingi za kwetu bongo za hao kina tino, kanumba, ray, huwa ni za hovyo na zenye kubomoa maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…