Hakuna mwanaume lijali akaingia kua shoga sababu ya eti kuiga, wanao onekana wanaiga ni wanadanganya, sio wameiga ila ni mashoga toka mwanzo na wanajificha kwa kusingizia wameharibiwa na mambo ya kileo`.
Ukishaona mtu mkali sana na anakemea mashoga , mwangalie mara mbili, wengi ya hao wanao tusi mashoga , utakuta ndio vinara wa mambo hayo kisiri, wengi ni wanakua bisexuals na wana jijua na kujaribu kuficha upande mmoja wa sexuality zao kwa kuhofia kutumbukia huko kwa sababu wanaaamini ni dhambi au muonekano wao kwenye jamii, ndio maana wana kua wakali kwasababu ukweli ni wanatamani kimapenzi jinsia zao ila kuna kitu kina wa suta moyoni.
Filam isiwe kitisho kwani ukizawaliwa straight wewe ni straight huwezi kuwa homosexual kwa kuiga , kwani gay sex kwa a straight man is nasty and dirty, hakuna lijali atakaye kubali kukiss dume mwenzake bila kuwa na feelings kwake , hilo hakiwezekani unless una jaa za hela!