Movie ya Wonder Woman 1984

Ebu ngoja kwanza....
Hivi huu muda wa kuangalia hizo zenye mnaita mavi mzupata wapi..🤔🤔
Na zege mnabeba saa ngapi..??
Na kupombeka je..??
Sipombeki wala sibebi zege Kiongozi, ndio burudani yangu inayonifanya niinjoi maisha. Vipi wewe unawezaje kukaa dk 90 kuangalia mijamaa inagombania mpira?!
 
Sawasawa kabisa,endelea kuangalia watu wakipaa hewani huku wameshikilia ngao ya Captain America.
Sawa endelea kubisha wakati watu wanasafiri zao kwa kupaa vizuri tu..kumbe hua unamuangali captain
 
Binadamu tumetofautina sana machaguo, kila mtu ana chaguo lake moyoni na haiwezekani tukafanana.

Kuna mdau kasema yeye science & fiction hazikubali, mimi ndio movie zangu haswa.
 
Binadamu tumetofautina sana machaguo, kila mtu ana chaguo lake moyoni na haiwezekani tukafanana.

Kuna mdau kasema yeye science & fiction hazikubali, mimi ndio movie zangu haswa.
Hapo ndipo utajua Mungu fundi mkuu.
 
bonge la movie tuko pamoja tumeisubiri wote,
vipi money hest umeicheki…..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…