mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
hahahahahIla wapenda movie za kupaa+miujiza+robots ni ma-genius sana mzee baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahIla wapenda movie za kupaa+miujiza+robots ni ma-genius sana mzee baba.
ndo maana sipendagi kuangalia bongo movieMitano tenaaa.View attachment 1654745
Daah hio tenet ili ieleweke labda ni mpk mtu awe ananyetuka/puli la sivyo ni kisanga.Sana hebu angalia tenet kama unakichwa cha kushabikia yanga uone kama utaelewa
Hapana mkuu bado haijatoka sogea cinema hapa 15k
Hahah zinataka kujitoa ufahamu mzee baba.,ila hata wazungu nao washakua wajinga siku hizi.ndo maana sipendagi kuangalia bongo movie
Toboa night siku hizi mbona haipo...Aah Wapi 15k kirahusi ivoo, mjuba nasubiri yts.org waiweke nijiunge bando la Toboa Night Ttcl wanipe 10gb niipakue hio na muvi nyengine zaidi ya 5 kwa Buku tu .
aoo sio wazungu ni waindi awajatofautia kwenye uongo n a wabongooHahah zinataka kujitoa ufahamu mzee baba.,ila hata wazungu nao washakua wajinga siku hizi.
Aisee nilicheki movie 1 hivi nadhani ni sci-fi ile, eti jamaa anakimbia mara paap anegeuka kua gari la roboti hivi aisee nikasema haya mambo ya kitoto yana wenyewe aisee.
Mnaraha, Avanger Endgame bado imetoka tu nikaitolea 15k then after few weeks jamaa angu akawa nayo full HD. Iliniuma... Ila Cinema kuna raha yakeAah Wapi 15k kirahusi ivoo, mjuba nasubiri yts.org waiweke nijiunge bando la Toboa Night Ttcl wanipe 10gb niipakue hio na muvi nyengine zaidi ya 5 kwa Buku tu .
Basi mimi napenda sana muvi kama hizo za Transformers..Hahah zinataka kujitoa ufahamu mzee baba.,ila hata wazungu nao washakua wajinga siku hizi.
Aisee nilicheki movie 1 hivi nadhani ni sci-fi ile, eti jamaa anakimbia mara paap anegeuka kua gari la roboti hivi aisee nikasema haya mambo ya kitoto yana wenyewe aisee.
Action movies naangalia zote,lkn sci-fi/star wars/fiction daah hapana kwa kweli jombaa.Ndio ujue muvi sio for everyone, Tenet labda uwe na notebook pembeni uainishe matukio. Watu wanatumia akili kubwa sana kuandaa hizi muvi
Yes uko sawa kabisa, hio movie ni hizo mambo za Transformers na zimenishinda kabisaa.Basi mimi napenda sana muvi kama hizo za Transformers..
ana id kama tatu hivi...Una Id ngapi jombaa
😆😆😆katisha aiseh...ana id kama tatu hivi...
Yes uko sawa kabisa, hio movie ni hizo mambo za Transformers na zimenishinda kabisaa.
Nilijaribu kuangalia hobbs&Shaw nikaona chenga tupu nikaacha kuichek nikahamia kwny escape from pretoria.
Wakati huo pia wengine wanakushangaa unavyotoa pesa kununua kinywaji kichungu ambacho unaenda kukikojoa baada ya muda mfupi. Huku kikikuacha kichwa kizito.😀😀Ebu ngoja kwanza....
Hivi huu muda wa kuangalia hizo zenye mnaita mvi mzipata wapi..🤔🤔
Na zege mnabeba saa ngapi..??
Na kupombeka je..??
Sijawahi kujaribu hii kwa simu.Mkuu hebu nielekeze jinsi ya kupakua muvi kwa simu kupitia saiti hii. Kwa simu hua inanishinda kabisa...
Nataka nipakue hii
View attachment 1654988