Movie ya Wonder Woman 1984

Mkuu hebu nielekeze jinsi ya kupakua muvi kwa simu kupitia saiti hii. Kwa simu hua inanishinda kabisa...
Nataka nipakue hii
View attachment 1654988
Download torrent file kwa kuclick quality inayoitaka. Labda 720 web. Tafuta file lilipo na kalifungue ili kuliupload torrent.
Unaweza pia click mara mbili hapo na file likaja bila kwenda kulitafuta.
 
Namba 2 yake ni mwaka 2022 hafu namba 3 2023
Hivi walihairisha mwaka au maana niliskia 2021


hivi vichupa vya DC na marvel vinavyoachiwa mwaka huu ni vipi ?


Eti marvel wanataka kuja na movie ya Ya I'm groot sasa kwenye movie atakua anaongea nini? [emoji23]
 
Hivi walihairisha mwaka au maana niliskia 2021


hivi vichupa vya DC na marvel vinavyoachiwa mwaka huu ni vipi ?


Eti marvel wanataka kuja na movie ya Ya I'm groot sasa kwenye movie atakua anaongea nini? [emoji23]
Mwaka huu ni mwendo wa Marvel tu. Movies tunaanza na Black widow,Shang Chi then The Eternals.. Can't wait to see my idol Jon snow na Robb
I'm Groot kwakweli hata sijui itakuaje hahahaaa ngoja nisubirie trela. Tarehe nane hapo Wanda and Vision inatoka
 
Ebu ngoja kwanza....
Hivi hua mnapata wapi muda wa kuangalia hizo zenye mnaita mvi....πŸ€”πŸ€”
Na zege mnabeba saa ngapi..??
Na kupombeka je..??
Ila ww jamaa bana πŸ˜†πŸ˜†
Eti zege mnabeba saa ngapi
 
Tunaanza na wanda vision kwanza hii January than inafatia Loki ndo tuje tucheki Black Widow
 
Hapa naona mapicha picha tuu. Mm bado naangalia HATYA govinda na First blood kupitia yutyubu tena nikiwa idle ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…