Rawahy New Member Joined Jun 12, 2013 Posts 1 Reaction score 4 Mar 16, 2023 #1 Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music. Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.