Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni:
1. SACRIFICE.
2. The BRIGDE AT toko -Ri
3. The steel helmet
4. My way
Zote hizo hapo juu zina potray. Historical true war periods that happened aseeee ni. Huhalisia in fiction mode, then wana. Katika stage wana state the reason why. Mfano hiyo ya kwanza sacrifice aseeee usiombe.
KULISHAJENGWA. DARAJA. LA BINAADAMU AS DARAJA LILILOPITISHA MAGARI NA ZANA NYINGINE ZA KIVITA KWA DARAJA LILILOJENGWA KWA NYAMA NA MIFUPA YA BINADAMU aseeee dah na ni ukweli kabisa then. The invaders wakashindwa