Movie za kutazama Leo hii

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu



Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu


Hii nayo pia ni ya mwaka huu companion kwa kiswahili ni mwenzi sasa unajua Nini kilitokea ni hivi Safari ya mapumziko ya wikendi inageuka kuwa ya umwagaji damu na vurugu wakati android inayotumika ambayo imeundwa kwa ajili ya urafiki wa binadamu inapotea.

Cc Mr Q dosho12 Carleen Fake P mshamba_hachekwi if cap fits ephen_
100 others
 
Mkuu Umeiona hyo Companion?
Kama umeitazama vp ni kali
 
Companion nshaichek n nzuri kiasi mana ina ushoga humo ndani pia ina comedy, vitu ambayo sio vitu vyangu.

Heart eyes ninayo ila bado cjaiangalia.

Demon city h nadhani n series (Sina uhakika) kama n series bc binafsi siwezi kuangalia series, na kama n single movie bc nadhani trailer yake sijaipenda hvy niliachana nayo.
 
Demon city ni single mkuu vipi ushacheki na ile captain America mpya πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…