Movie za kutazama Leo hii

Movie za kutazama Leo hii

Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu
View attachment 3260561

View attachment 3260562
Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu

View attachment 3260567
Hii nayo pia ni ya mwaka huu companion kwa kiswahili ni mwenzi sasa unajua Nini kilitokea ni hivi Safari ya mapumziko ya wikendi inageuka kuwa ya umwagaji damu na vurugu wakati android inayotumika ambayo imeundwa kwa ajili ya urafiki wa binadamu inapotea.

Cc Mr Q dosho12 Carleen Fake P mshamba_hachekwi if cap fits ephen_
100 others
Hiyo demon city nimeangalia TRELA yake kumbe ni kali hivyo? Nilijua ni yale mambo yenu kijana
 
Ni Kali sana hii kaka
Mitambo ilisha anza kuchakata data
Screenshot_20250309-123743.png
 
Kama unapenda kisasi basi hii itakufaa imetoka mwaka huu ni Kali sana mtu wangu
View attachment 3260561

View attachment 3260562
Hii nayo imetoka mwaka huu siku ya wapendao inaenda kuharibika je unataka kujua Nini kilitokea icheki mtu wangu

View attachment 3260567
Hii nayo pia ni ya mwaka huu companion kwa kiswahili ni mwenzi sasa unajua Nini kilitokea ni hivi Safari ya mapumziko ya wikendi inageuka kuwa ya umwagaji damu na vurugu wakati android inayotumika ambayo imeundwa kwa ajili ya urafiki wa binadamu inapotea.

Cc Mr Q dosho12 Carleen Fake P mshamba_hachekwi if cap fits ephen_
100 others
Ndo nimezimalizia apa zote tyr kiongozi📌
 
Back
Top Bottom