Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

sizioni filamu za Emmanuella..

sijajua uzi wako ni wa filamu zenye nudity kama Spartacus ama filamu zenye visa vya mapenzi.. (Hizo si ni nyingi sana).
Ndio maana hapo mwisho nimesema unaweza kuongezea
 
Innocent Thing hii ni ya mkali Jang Hyuk alikuwa ticha wa Physical Education basi kuna binti mmoja mwanafunzi wake mwamba akamla.

Sasa Binti alikuwa kichwani chenga kama psychopath akaanzaga kumganda mkali halafu jamaa ana wife wake dadek binti king'ang'anizi hadi akataka kuvunja ndoa ya jamaa kisa mnjulubeg aliochezea mara moja[emoji1316][emoji23][emoji23]

Na kuna Serve The People hii ni ya kijeshi mwamba mmoja alipewa duty nyumbani kwa mkuu wao basi humo ndani akakutana na mke wake huyo basi ilr kupewa mitego sana jamaa akalaga mzigo basi ikawa daily mwendo wa kukandamizana kuanzia chumbani,sebuleni hata koridoni,alitia hadi mimba mke wa watu[emoji1316][emoji23]
 
Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha.
Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo;

1. Pretty Woman..
Jamaa ananunua Malaya kwa ajili ya ngono ya siku moja lakini ananogewa hadi kuamua kuoa kabisa.

2. The Reader.
Dada mwenye umri wa zaidi ya miaka 30 anapofanikiwa kumshawishi kijana wa miaka 14 na kuwa kipozeo chake.

3. Jazzman Club.
Kijana wa Kinegro miaka ya 1930 huko Marekani analiteka penzi ya Binti wa kizungu..Baada ya kutoonana kwa muda mrefu..wanakutana tena Binti wa Kizungu akiwa ameolewa na Mzungu mwenzie lakini bado alivyokutana na Niga anataka kupasha kiporo..matokeo yake ni mabaya kwani yule kijana mweusi anauawa kwa kunyongwa.

4. Acrimony.
Penzi wa vijana Black waliokutana chuoni..Kijana wa kiume hana hili wala lile ila Bi Dada amemuelewa jamaa na yuko tayari kuuza hadi nyumba ya urithi ili jamaa alipie ada za chuo. Baada ya kumaliza kazi Dada wa watu anashindwa kuvumilia kipindi kile cha kutafuta ngazi na anaachana na jamaa yake. Jamaa anapata kazi mzuri na kulipa bill zote alizokuw anadaiwa na yule mpenzi wake wa zamani na kuoa mwanamke mwingine..hapo ndipo kwenye utamu wa hiyo movie.

5. Lady Chartlyer Love.
Binti mbichi huko Uingereza ameolewa na jamaa ambae baadae alikuja kuumia kiuno akiwa vitani hivyo kushindwa kutoa huduma kitandani.
Binti wa watu akaona isiwe tabu..akawa analiwa Kimasihara na mtunza Zoo.

6. Tulip Fever.
Haitofautiani sana ni hiyo ya Chartlyer.. Binti mdogo ameolewa na kibaba..siku moja anakuja kijana hansome mchoraji ili amchore huyo Dada (wakati huo camera hazikuwepo). Kilichotokea ni kulana tunda Kimasihara.

7. My Perfect Wedding.
Bi harusi mtarajiwa matashtiti meeingi siku ya harusi anakuja kuangukia mikononi mwa bestman.

8. Anikulapo.
Hii ya kinaijeria..mfalme ana wake wengi..bi mdogo alikuja Kuliwa Kimasihara na fundi nguo Ili kupunguza kiu ya ngono.

9. Adore.
Aisee hii kali..wamama wawili marafiki tangu watoto..kila mmoja ana mtoto wa kiume umri wa balehe...hapa na pale kila mmoja anajikuta anakulana Kimasihara na mtoto wa mwenzie..Daah hatari.

10. Maya and Her Lover.
Hapa kuna bidada fulani hivi kwao mambo safi..anaishi mwenyewe kwenye apartment yake..bila kutarajia akajikuta ameangukia mikononi mwa dogo wa kitaa..kila akijaribu kumuacha anashindwa si unajua vijana wakipata mashangazi.
Haya kwa uchache leo tuishie hapo ila zipo nyingi mnaweza kuongeza.

[emoji848]
 
Frozen flower.
Mfalme shoga anapelekewa moto na bodyguard wake. Balaza la viongozi likataka mfalme awe na mtoto endapo asipokuwepo mfano akifa kuwe na mrithi halafu mfalme shoga hawezi kutomber ikabidi amwambie bodyguard wake anaempelekea moto alale na malkia ili malkia apate mimba. Bodyguard kala mzigo siku ya kwanza siku pili akanogewa akawa anapiga kimya kimya bila mfalme kujua ile mfalme kujua ikawa bifu. Bodyguard akatoloka na malkia. Ukapigwa msako akakamatwa kijijini uko akakatwa uume kama adhabu. Bodyguard baada ya kujitibu na kupona akamwibukia mfalme wakazichapa wote wawili wakauana.
 
Love in the time of cholera
HIki kitabu nmesoma. Sijawahi kujua kuna movie yake, ipo mkuu nkaitafute?
Screenshot_20230829-192750_WPS Office.jpg
 
Dogo alimchanganya mama wa watu. Dogo alikuwa akimkuta popote pale iwe kwenye kituo cha daladala, chooni, kwenye kolido anampelekea moto tu.
Yani ile movie n noma kuna ile moj anampelekea moto mlangoni🤣🤣🤣🤣 Jamaa ana haki ya kuua
 
Back
Top Bottom