Movies 2022: Ipi kati ya hizi unategemea itawatendea mashabiki haki?

Movies 2022: Ipi kati ya hizi unategemea itawatendea mashabiki haki?

1640897260867.jpg
 
Kuanzia 1 mpaka 11 kuna vyuma vya moto.
Lakini kuna huyu mzee wa kuitwa James Cameron hajawahi kukosea na avatar 2 lazima itaenda kuvunja box-office record tena.

Mwaka 2020 na 2021 zimetoka movie nyingi mbaya mbaya tu….sijui kwa sababu ya corona au wameishiwa idea….ngoja tuone mwaka huu 2022 zitakuwaje hizo movies.
 
Kwa upande wangu naona kutakuwa na makundi mawli hapo, kundi la Kwanza ni hilo ambalo swali lako limebase, zipi zitawatendea haki watazamaji na kundi la pili ni zipi zitauza sana maana mauzo na satisfaction ni vitu viwili tofauti

Kutendea haki watazamaji
1.Top gun
2.Extraction
3.Mission impossible 7
4.Harry Potter
5.Minions 2
6.Fire heart
7.Black Adam
Bonus The Lost City

Kundi la zitakazouza sana
1.Avatar 2
2.Balck panther
3.Thor Love and Thunder
4.Aquaman
5.Spider man
 
Back
Top Bottom