Movies Addicted: Tunamaliza mwaka hivi..?

Kumbe unajua movie..

Kuna watu wamevaa uhusika..

Dogo john Conor na t-1000 ni balaaaa..
Unaniitaje dogo kiboya boya ivo..
Hakuna muvi nisizozijua mimi.. Nyingi nimeona
 
Mkuu Last Christmas Vipi Namuona Broker Of Chain Khalees Mother Of Dragon?

Ni love story maana ndio naangalia kwa sasa.
 
Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
aisee mi niko kama wewe mkuu ila mimi nakula weed, video game{very addicted} , basketball playing ila sasa hizi movie mkubwa ninazipata je maana naona uko very updated than me
 
Chugamaica
dah haina noma kwani huna hata wana wa huku dsm kwasbabu najua mtu huwa na circle ya watu wenye interest moja so kama kuna mwana pia yuko vizuri unamkubali fanya nimcheki nikapate hizi mambo
 
Mkuu mimi rafiki angu ni pc tu.. sina marafiki wa age yangu ambao twaweza kubadirishana muvi. Wengi age yao imeenda. Nikija Dar Dec nitakuchek
dah haina noma kwani huna hata wana wa huku dsm kwasbabu najua mtu huwa na circle ya watu wenye interest moja so kama kuna mwana pia yuko vizuri unamkubali fanya nimcheki nikapate hizi mambo
 
Ford vs Ferari nani kaiona...
 
Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Mkuu mi sishei hayo mengine ila kwenye muvie tupo pamoja nipange nije unipe mamuvi
 
Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Mkuu taste zako ni movie za namna gani, mi ni chizi movies ila kuna baadhi ya movie hata ukinifunga kamba siangaliii kabisa.
 
Mkuu taste zako ni movie za namna gani, mi ni chizi movies ila kuna baadhi ya movie hata ukinifunga kamba siangaliii kabisa.
  • Supehero movies
  • Love story n Drama
  • Comedy n Action
Muvi za kutisha au kuaikitisha hua siangalii.. napenda muvi zenye stori tamu kama za kihindi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…