Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaniitaje dogo kiboya boya ivo..
Hakuna muvi nisizozijua mimi.. Nyingi nimeona
aisee mi niko kama wewe mkuu ila mimi nakula weed, video game{very addicted} , basketball playing ila sasa hizi movie mkubwa ninazipata je maana naona uko very updated than meMimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Hongeraa.. Weed gonga ila video game achana nazo.aisee mi niko kama wewe mkuu ila mimi nakula weed, video game{very addicted} , basketball playing ila sasa hizi movie mkubwa ninazipata je maana naona uko very updated than me
duuh aisee dah uko mitaa gani dingiHongeraa.. Weed gonga ila video game achana nazo.
Zipo za kutosha latest.. sema sipo dar kiongozi
dah haina noma kwani huna hata wana wa huku dsm kwasbabu najua mtu huwa na circle ya watu wenye interest moja so kama kuna mwana pia yuko vizuri unamkubali fanya nimcheki nikapate hizi mamboChugamaica
dah haina noma kwani huna hata wana wa huku dsm kwasbabu najua mtu huwa na circle ya watu wenye interest moja so kama kuna mwana pia yuko vizuri unamkubali fanya nimcheki nikapate hizi mambo
poa poa chugaMkuu mimi rafiki angu ni pc tu.. sina marafiki wa age yangu ambao twaweza kubadirishana muvi. Wengi age yao imeenda. Nikija Dar Dec nitakuchek
Mkuu mi sishei hayo mengine ila kwenye muvie tupo pamoja nipange nije unipe mamuviMimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Mkuu taste zako ni movie za namna gani, mi ni chizi movies ila kuna baadhi ya movie hata ukinifunga kamba siangaliii kabisa.Mimi sinywi, Sivuti, Sibeti, sishabikii mipira, Sio muhuni. Just movies.. I'm movies addicted. That's my Entertainment.
...
Mwaka unaisha, tunaumaliza hivi kwenye Hollywood.
Mkuu taste zako ni movie za namna gani, mi ni chizi movies ila kuna baadhi ya movie hata ukinifunga kamba siangaliii kabisa.