DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
dah!Daemusin tusaidie hapo!
ni mgeni sana kwenye ulimwengu huo wa project za mabeberu
ila mara nyingi wadau wanatumia torrent software
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah!Daemusin tusaidie hapo!
huyo mwanadamu amepotea kwa takribani miezi 8.Niitie empty mkuu aje asaidie
Hahahaaa conection everywhere, Mimi kupakua muvi hua nashindwa kwakweli.. naona usumbufu. Naweza kupakua Subtitles tuhuyo mwanadamu amepotea kwa takribani miezi 8.
hii ndio website niliotumia takribani wiki mbili zilizopita kwa ajili ya kudownload series ya peaky blinders pamoja na cracked software tofauti.Kickass Torrents - Download torrents from KickassTorrents
Kickass.to - Download torrents from KickassTorrents. Search and download tv shows, movies, music from Kickass Torrents.kat.am
humu JF baadhi ya nyakati unakuta vitu vidogo kama hivi mpaka uwe na connection ndio upate msaada.
unaonekana hupendi haramu.Hahahaaa conection everywhere, Mimi kupakua muvi hua nashindwa kwakweli.. naona usumbufu. Naweza kupakua Subtitles tu
ule wa juzi?Haita tokea kamwe ase.. Mimi niangalie bongo muvi labda..
Kuna ujumbe wako kwenye uzi wako kule
dah nimeuonaLeo hii
tokea lini mwalimu akasomeshwa na mwanafunzi?Leo hii
mara nyingi naishia kuangalia drama na music, hayo mambo mengine ya siasa, uwekezaji huwa siyapi nafasi sana labda historical huwa nafuatilia kwa kiasi fulani.Nakuamini katika uwezo wako mkuu. U too far from me
Mkuu kwa the bold kaelezea kiasi kuliko jinsi ilivyo.. i wanna go deepmara nyingi naishia kuangalia drama na music, hayo mambo mengine ya siasa, uwekezaji huwa siyapi nafasi sana labda historical huwa nafuatilia kwa kiasi fulani.
nafanya hivyo kwa sababu sitaki kuwa teja wa kutupwa kwa hao wavimba macho.binafsi nakumbuka niliwahi kusoma makala ya THE BOLD humu ndani alielezea vizuri sana huo mfumo wa conglomerate.
Yeah ni kiki tu.Hata mimi naisubiri..
Na Joker naona itakua nzuri
Umeona majamaa yalivyovuta attention ya watu kwa spiderman
Mkuu tuwasiliane basi unipe movie ..Kwakweli sijui. Mm hua sipakui muvi, either niende cinema or ninunue