Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

Spencel confidential
Bloodshot
Angels has fallen
Bad boys for life
6 underground
Guns akimbo
Shaft
Rambo last blood
Ip man 4
Accident man
Avengement

Zote kali kama hujaziona


Sent from my iPhone using JamiiForums
ngja nizilist ,,. hyo akimbo jina lake tu inaonekana ni hatar
 
Leap
Rio 1,2 & 3
How to train your dragon 1 & 2
Troll
Megamind
Minions
Hotel Transvania 1,2 & 3
Angry Birds 1 & 2
Madagascar 1,2,3,4 & 5
Despicable 1 & 2
Croods

Maliza hizi halafu nitakutumia nyengine..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Extraction
Hii na predict itakuja Part 2. Yule mgumu alivyojirusha kwenye maji atakuwa hakufa atapona (stelingi hauawi...😁). Halafu mob ya Bangladesh itafanya jaribio lingine la kumteka yule dogo.
Au wanaweza tengeneza extraction nyingine....kwa kifupi ile movie wamejipanga kama series....
 
Naona siku hizi kuna utaratibu wa movie kutokuisha kabisa, hiyo itakuwa kama John wick yani unaona kabisa kuna muendelezo.
 
Embu tupeane basi taarifa kuhusu Internet, unazidosha vipi hizi mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…