Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tena, Mariposa.Nimeziangalia zote ni nzuri sana,
The Mist mwisho wake umeniumiza sana, jamaa kaua familia yake kwa kukata tamaa baadae msaada unakuja, alilia kwa uchungu sana akimfikiria mtoto wake mdogo aliyemuua,
The Call, inasisimua na nimependa mwisho ina happy ending walivyolikomesha lile liuaji
Ushindwe wewe.Ngoja niingie chimbo 🔥
Nishashusha tatu chapu chapu.Ushindwe wewe.
Ziko vizuri ngoja niandae muda mkuu
Hazipo kwenye channel yako jamani1. VACANCY.
View attachment 3013137
Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni.
Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko wanakoenda.
View attachment 3013138
Lakini haichukui muda, katika njia hii, David anamwona mnyama mdogo mbele yake. Anajaribu kumkwepa na hapo ndo' gari inaharibika na safari hii inaishia hapa.
Sasa hawana namna, wanatafuta hoteli ya bei rahisi iliyopo karibu nao ili wajilaze kuuvusha usiku huu kisha asubuhi wajue nini cha kufanya.
Bahati nzuri wanaipata, na kwenye hoteli hii chakavu, kuna runinga ya kuwaburudisha. Sio kinyonge. Wanatazama filamu inayorushwa, na punde David anabaini kuna jambo fulani halipo sawa.
View attachment 3013140
Filamu hii ya mauaji mbona kama anaijua?
Ebu ngoja ... anaitazama tena. Ndio. Kuna kitu anakijua humu.
Filamu hii imechukuliwa kwenye chumba hiki hiki walichokuwemo wao, na watu hawa mbona kama ali ...
Anatazama vema, kuna kamera humu ndani, zinawachukua na kuwanakili kila wanachokifanya.
View attachment 3013142
Si muda mrefu anabaini jambo ya kuwa humu ndani ni 'setting' ya mauaji.
Hapa wageni wanaingia na kisha wanauawa wakirekodiwa 'live' kwaajili ya maonyesho ya wageni watakaofuatia.
View attachment 3013145
Wanatazama milango, yote imeshafungwa. Kupiga simu ya msaada, nayo hamna kitu!
Sasa wanajikuta wakiungana kujiokoa na wauaji wanaomiliki hoteli hii ambayo kuingia ni gharama ya pesa ila kutoka ni gharama ya uhai.
Ndoa yako ilokuwa inayumba, inabidi isahau yalopita, ili wapate kutoka hai hapa.
Ni nani wauaji na wanataka nini?
Na je, watatoboa kuuvuka usiku huu mrefu?
Jipe raha.
2. THE CALL.
View attachment 3013146
We unasema kazi yako ina stress kisa bosi wako Muhindi, ushawahi kuwafikiria wahudumu wa namba za dharura?
Wanatoka nyumbani kwenda kupambana na simu za watu wanaobakwa, wanaotaka kuuawa, wanaotekwa, wanaovamiwa.
Kila unapoweka simu sikioni, basi ni tatizo.
Yani kila simu na mkasa wake.
Mkasa mmoja wao ni huu anaokutana nao opareta wa 911, jina lake Jordan.
View attachment 3013147
Siku hii akiwa kazini kama kawaida yake, anapokea simu ya mtoto Lea. Mtoto anapiga simu akiwa anatetemeka wa hofu, anamwambia kuna mtu ameingia ndani kwao na anataka kumuua.
Jordan anajaribu kumtuliza na kumshauri akajifiche juu, kidogo simu inakata. Jordan akiwa hana uhakika na usalama wa Lea, anapiga simu tena aongee naye.
Simu kuita inakuwa makosa makubwa.
View attachment 3013148
Mlio wake unamshtua muuaji na kumsaidia kufahamu alipojificha mtoto Lea.
Kwa kutumia simu, Jordan anamsihi muuaji asifanye alichopanga kufanya lakini anachelewa.
Muuaji anamwambia;
"Tayari ishaisha."
Kisha anakata simu.
Kesho yake mapema, kwenye runinga, Jordan anaona habari ya kifo cha mtoto Lea.
Roho inamuuma sana kwa kutomsaidia binti huyu.
View attachment 3013149
Sasa anaona inatosha, hataki tena kupokea simu za wahanga, yeye atabakia kama mkufunzi wa wafanyakazi wapya katika kitengo hiki cha dharura.
Miezi sita baadae, akiwa kazini kama mkufunzi, anakutana na mkasa mwingine wa mtoto mwingine.
Siku hiyo inapigwa simu anapokea mhudumu mwanafunzi. Anayepiga simu ni binti Casey ambaye ametekwa na mtu asiyemjua kisha akafungiwa kwenye buti la gari.
Anapiga simu kuomba msaada haraka. Anaogopa sana.
Ubaya simu aliyotumia ni 'disposable phone', hii huwezi kui-track. Sasa hapa utashi wa mhudumu unahitajika. Tena mhudumu mzoefu ili kumnusuru na kifo.
View attachment 3013150
Hapa ndo' Jordan anakabidhiwa tena simu ili amuokoe mhanga.
Sasa simu hii ndo' kisanga chenyewe.
Jordan anaongea na mhanga akimpa maelekezo nini afanye kujiokoa, lakini kadiri muda unavyozidi kwenda, hali inazidi kuwa ngumu, hatari inazidi kuongezeka.
Simu hii ni simu ya kifo na Jordan anahaha sana kurekebisha makosa yake ya awali.
View attachment 3013151
Sasa ataweza kumwokoa binti huyu kwa kutumia sauti yake tu?
Tazama kigongo hiki.
3. THE MIST.
View attachment 3013152
Baada ya kimbunga kikali kuchapa kitongoji cha Bridgton, mji wa Maine, maisha yanabadilika kabisa.
Mbali na madhara mengine, kimbunga hiki kimeleta janga kubwa ambalo hamna anayelijua vema.
View attachment 3013154
Kwenye majira ya asubuhi, David na mkewe wakiwa wanatazama mti uloangukia nyumba yao sababu ya kimbunga kile, wanagundua kuna ukungu mkubwa unasogelea ziwani.
View attachment 3013155
Baadae David akiwa pamoja na mwanae, wanafunga safari kwenda kununua mahitaji yao ya nyumbani.
Wakiwa ndani ya supermarket, wanashangaa kuona magari ya polisi huko nje yakiwa yanakatiza kwa kasi sana.
Mara anaingia mtu mmoja humu ndani.
Mtu huyu ana woga sana.
Anasema kwa hofu ya kwamba huko nje kuna hatari ... kule kwenye ukungu mkubwa kuna hatari.
Kabla hajaeleweka hatari gani, king'ora cha tahadhari kinalia kwanguvu huko nje kuwaonya raia popote pale walipo.
Sasa meneja wa supermarket anafunga lango la duka, na watu wanabakia humu ndani wakati ukungu ukiendelea kusambaa huko nje ...
Na ukiwa unasambaa, watu pia wanakufa wakimezwa na viumbe vilivyomo ndani ya ukungu huu wa ajabu.
View attachment 3013157
Sasa David na wenzake wanajikuta katika mtihani mkubwa. Mkewe yuko nyumbani. Wao wamefungiwa madukani na nje kuna hatari isiyo na mfano.
Ni baadae ndo inakuja kugundulika, janga hili limesababishwa na kufeli kwa jaribio la jeshi liitwalo 'Project Arrowhead'.
View attachment 3013158
Jaribio hilo limefungua malango kwa kiumbe cha hatari kisichoeleweka nguvu wala udhaifu wake.
Hivyo mji wa Maine, kufumba na kufumbua, unageuka kuwa ulingo, kila mmoja akihaha kupambania uhai wake kabla ukungu huu haujawameza wote.
View attachment 3013159
Tazama chombo hiyo.
4. THE GIRL ON THE TRAIN.
View attachment 3013161
Rachel ameshaachana na mumewe na sasa kila mtu ana maisha yake. Bwana ameshaoa na hivi sasa ana mtoto huku Rachel akiwa bado single, mpweke na mlevi.
View attachment 3013162
Mbaya zaidi, Rachel akiwa ndani ya treni, kila siku iendayo kwa Mungu kwenda jiji la New York, anakatiza njia iliyo karibu na makazi yake ya zamani alokuwa anaishi na mwanaume huyu waloachana.
Hivyo apende asipende, atapaona mahali hapa na tena siku nyingine atamwona ex wake pamoja na familia yake; mkewe mpya na mtoto wao wakiishi kwa furaha.
Just imagine.
View attachment 3013165
Kwasababu hii, Rachel anaamua kupuuza eneo hili na kuanza kuzingatia zaidi majirani zake, na hapo ndo anapoiona familia ya mwanamke Megan na mumewe Scott.
Familia ambayo Rachel anaamini ni familia 'perfect', yenye mapenzi ya dhati.
Basi anaitazama kwa macho ya wivu.
Lakini siku moja, akiwa katika treni kama kawaida yake, anashuhudia kitu asichokitarajia.
Anamwona Megan akimbusu mwanaume mwingine na hapo anabaini kumbe familia hii siyo kama vile alivyokuwa anaiwaza.
View attachment 3013167
Swala hili linamkwaza.
Baadae anapiga zake vyombo na kuzima. Anapokuja kuamka ana 'hangover' ya maana, majeraha mwilini na hakumbuki nini kilitokea jana yake.
Mara kwenye TV anaona habari. Yule mwanamke Megan amepotea na inahofiwa amekufa.
Sasa hapa ndo' Rachel anashangaa. Kwanza kilitokea nini jana yake mpaka akaamka na majeraha?
Na kitu gani kimemtokea yule Megan aliyemwona mzima akiwa anamsaliti mumewe?
Basi anatoa taarifa kwa polisi juu ya kile anachokijua kumhusu Megan. Lakini ajabu polisi wanaanza kumshuku mwanamke huyu kuwa huenda ni yeye ndo amehusika na tukio.
Kwanini?
Na ukweli wa mambo ni upi?
View attachment 3013169
Cheki mzigo huo, THE GIRL ON THE TRAIN.
Hamna movie ambayo haipo kwenye channel yangu, inategemea wewe upo channel ipi.Hazipo kwenye channel yako jamani
Hizo nilizosema zipo channel gani? Ndiyo uniambie nikazipakueHamna movie ambayo haipo kwenye channel yangu, inategemea wewe upo channel ipi.
mkuu hii girl on the tain naona zipo kama nne hivi? zote story moja?1. VACANCY.

Unaziona wapi ziko nne?mkuu hii girl on the tain naona zipo kama nne hivi? zote story moja?
Mbona the call siioni?Unaziona wapi ziko nne?
Upo cute?Thanks for sharing
inategemea upo channel gani.Mbona the call siioni?
Hiyo ndiyo nikoinategemea upo channel gani.
siijui hiyo channel so siwezi jua kwanini hazipo. Mimi naongelea channel zangu.Hiyo ndiyo niko
Karibu tena mpendwa.Steve nlimiss uandishi wako... Apa nshapata movie za kuangalia thanks
Wewe upo channel gani ?inategemea upo channel gani.