Movies ya Sometimes in April yakwiba nyimbo ya Soggy doggy kama soundtrack bila idhini yake

Movies ya Sometimes in April yakwiba nyimbo ya Soggy doggy kama soundtrack bila idhini yake

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Hii Kitu niliijua siku nyingi sana......sikumbuki kama niliwahi kuandika hapa JF.... Sometimes in april movie iliyotoka 2005 wametumia sound track zifuatazo na moja wapo ukiwa wimbo aliotunga bongo flava soggy doggy hanter na kuimba na dataz...

• "I'm A Man"
Performed by The Pyramids

• "NBC Nightly News Theme Music"
Composed by John Williams (as John T. Williams)
Performed by John Williams

• "Sikutaki Tena"
Written by Dataz
Performed by Dataz and Soggy Doggy Hunter

• "Caribbean Queen"
Written by Billy Ocean and Vincent Alexander
Performed by Billy Ocean

• "Toyambana"
Written by Muaka Bapius
Performed by Zaiko

Cha kushangaza hata mtunzi na mshirikishwaji(Dataz) hawajui nani alipeleka na watengezaji wa film hiyo......na kama kapeleka alipewa mshiko kiasi gani......

Movie yenyewe ni hii
 
Last edited by a moderator:
Je back 2005 Soggy Doggy alikuwa na haki miliki ya nyimbo zake? Sasa ni muda mrefu umeshapita, sijui sheria za haya mambo, lakini inawezekana Soggy au Dataz mmoja wao kauza.
 
Je back 2005 Soggy Doggy alikuwa na haki miliki ya nyimbo zake? Sasa ni muda mrefu umeshapita, sijui sheria za haya mambo, lakini inawezekana Soggy au Dataz mmoja wao kauza.
Ujinga ni kucomment uzi wa 2011 kana kwamba umewekwa leo
 
Ujinga ni kucomment uzi wa 2011 kana kwamba umewekwa leo

Bujibuji kaanza kutoa commet na uzi umepop up kwa juu, sasa ni lazima kuangalia tarehe kabla kuchangia? Au kama threads za mwaka 2011 hazifai kutolewa maoni waambie Mods waziondoe.
Mi nafikiri ujinga ni kuwavunjia watu heshima asubuhi asubuhi.
 
Basi sawa jingalao
 
Back
Top Bottom