Moyo kuwa mkubwa

Moyo kuwa mkubwa

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,566
Naomba kujifunza nini chanzo cha maradhi ya MOYO KUWA MKUBWA kuliko kawaida?

Mokoyo
 
Hali hii huitwa Cardiomegally, yaani moyo kuwa mkubwa kuliko kawaida.

Kuna baadhi ya mambo husababisha, mojawapo ni
Magonjwa yatokanayo na virusi mbalimbali, bacteria n.k mf. ni

Pili Magonjwa ya moyo, hapa ninamaanisha magonjwa ya
-Kuzaliwa nayo(Congenital)
-Magonjwa ya chembe moyo(Valves)
-Mogonjwa ya

Tatu Magonjwa ya Shinikizo la damu, yaani

Nne,Hali/Sababu zinazofanya moyo kuchoka hasa kwa kuufanyisha kazi ya ziada.Mf damu kuwa kidogo,

Hutokeaje/Pathophysiology:
-Moyo huwa mkubwa kwa sababu aidha Misuli ya moyo(Cardiac muscles) kuwa kubwa au vyumba vya moyo(chambers) kutanuka..hii husababisha kutodunda(pump) kwa moyo vizuri.

Dalili:
-Kuchoka haraka
-Kuhisi mapigo ya moyo(kwa kawaida si rahisi kuhisi mapigo ya moyo, mfano sasa hivi unaposoma thread hii)
-Kupata shida katika kupumua

*Dalili nyingine hutegemeana sana na Chanzo?kiini cha tatizo, Hizi ni kama kupoteza fahamu, kifua(sehemu ya moyo) kuuma, miguu kujaa, tumbo kujaa, kupoteza damu nyingi mara baada ya kujifungua n.k.

Vipimo:
-Picha ya kifua(Chest X-ray/ CXR)
-ECG
-ECHO

Matibabu:
Hutegemeana na chanzo/kiini ni nini hasa lakini;
Uvutaji wa sigara na utuniqji wa vileo(hasa pombe) hukatazwa.
-Dawa za kusaidia udundaji wa moyo.
-wakati mwingine upasuaji kwa ajili ya kubadilisha kiungo/moyo hufanyika.
 
Mkuu hippocratessocrates ikiwa kama atabadilishwa Moyo wake kuwekewa moyo wa mtu Mwengine je kuna uwezekanao wa mgonjwa kuwa na maisha marefu? Mkuu Dr hippocratessocrates?
 
Mkuu MziziMkavu,

Ndiyo, uwezekano upo..muda mrefu mtu aliyowahi kuishi baada ya kubadilishiwa kiungo(moyo) ni miaka ishirini na nne(24).

Kuna madhara fulani kiafya yanayoweza kutokea baada ya kubadilishwa lakini kuna dawa(sindano) za kupunguza ukali/kutoendana kwa viungo.

Hata hivyo, si kila mtu ataweza kufanyiwa upasuaji, katika nchi nyingine mlolongo mrefu wa taratibu(kwa nia nzuri) hufuatwa hadi upasuaji kukamilika.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mwangalifu kuna baba yake rafiki yangu aliambiwa hivyo kuja USA wakamwambia moyo wake una matatizo mengine na sio ukubwa. Tafuta hospitali nzuri kuchunguza
 
Asante sana Mkuu ili ni somo kubwa sana kuliko matarajio. Barikiwa
Hali hii huitwa Cardiomegally, yaani moyo kuwa mkubwa kuliko kawaida.

Kuna baadhi ya mambo husababisha, mojawapo ni
Magonjwa yatokanayo na virusi mbalimbali, bacteria n.k mf. ni

Pili Magonjwa ya moyo, hapa ninamaanisha magonjwa ya
-Kuzaliwa nayo(Congenital)
-Magonjwa ya chembe moyo(Valves)
-Mogonjwa ya

Tatu Magonjwa ya Shinikizo la damu, yaani

Nne,Hali/Sababu zinazofanya moyo kuchoka hasa kwa kuufanyisha kazi ya ziada.Mf damu kuwa kidogo,

Hutokeaje/Pathophysiology:
-Moyo huwa mkubwa kwa sababu aidha Misuli ya moyo(Cardiac muscles) kuwa kubwa au vyumba vya moyo(chambers) kutanuka..hii husababisha kutodunda(pump) kwa moyo vizuri.

Dalili:
-Kuchoka haraka
-Kuhisi mapigo ya moyo(kwa kawaida si rahisi kuhisi mapigo ya moyo, mfano sasa hivi unaposoma thread hii)
-Kupata shida katika kupumua

*Dalili nyingine hutegemeana sana na Chanzo?kiini cha tatizo, Hizi ni kama kupoteza fahamu, kifua(sehemu ya moyo) kuuma, miguu kujaa, tumbo kujaa, kupoteza damu nyingi mara baada ya kujifungua n.k.

Vipimo:
-Picha ya kifua(Chest X-ray/ CXR)
-ECG
-ECHO

Matibabu:
Hutegemeana na chanzo/kiini ni nini hasa lakini;
Uvutaji wa sigara na utuniqji wa vileo(hasa pombe) hukatazwa.
-Dawa za kusaidia udundaji wa moyo.
-wakati mwingine upasuaji kwa ajili ya kubadilisha kiungo/moyo hufanyika.
 
Nini moyo kupanuka ?
Naweza pasta wapi matibabu?
Gharama Zake ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom