Moyo kwenda kasi na mwili kuishiwa nguvu

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Hello jf,hivi ni nini husababisha moyo kwenda kasi sana na mwili kuishiwa nguvu?
 
Mambo mengi ikiwemo mgonjwa ya moyo,pressure unapokutana na tatizo gjafla

, tatizo linakupata ww au na lina kukuta katika mazingira gan ?
 
Ushauri wa bure mimi pia umenisadia kama wewe si Mtu wa mazoezi nakushuri anza kukimbia 4KM-6KM-8KM-12KM baada ya kuzoea kimbia ile tunaita sprinting kwa kasi 100M kama husein Bolt ugonjwa utaisha
 
Mambo mengi ikiwemo mgonjwa ya moyo,pressure unapokutana na tatizo gjafla

, tatizo linakupata ww au na lina kukuta katika mazingira gan ?
Kuna dawa yake ya kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…