Moyo kwenda mbio na kuuma ubavu wa kushoto

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
Naomba msaada, tatizo langu ni moyo kwenda mbio na kushitukashituka ovyo. Pia nina maumivu makali ya kifua upande ule wa moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto, nyayo za miguu kuwaka moto na mwili kukosa nguvu kabisa.

Aidha nikitaka kufanya tendo la ndoa moyo huzidisha kasi.

Nimepata matibabu ktk hospitali mbalimbali ikiwemo hospitali ya rufaa Bugando bila mafanikio yoyote na sasa hivi nimekuja hospitali ya Muhimbili. Kwa sasa niko dhaifu siwezi kufanya kazi yoyote.

Wadau naombeni msaada kwani hata Muhimbili nina mwezi mmoja sijapata tiba yoyote kulingana na mizunguko iliyopo ktk hospitali hii. NISAIDIENI WENYE MAPENZI MEMA.

KWA MAWASILIANO 0787468179, 0763233106
 
Pole mkuu kuna dada hapo dar ana product inaitwa forever cardio health yeye ameagiziwa na dada yake kutoka marekan
Product za forever tanzania zipo lakin hii haijatufikia

Inafaanya kazi nzuri sana kwenye tatizo kama lako na unatakiwa uchanganye na juis ya aloe vera

Kama ungependa kuitumia ni pm au ntafute whats app 0752 720 276
 

Attachments

  • 1392575541471.jpg
    3.1 KB · Views: 3,126
Hahahahaa jina na ugonjwa yana uhusiano gan?
 
Pole sana ingawa hujatuambia wewe ni Mwanamke au mwanamme?

Umesha pima damu? Umeshapima VVU?Dalili ya matatizo yako inashiria huenda ukapatwa na ugonjwa wa kiharusi

Mungu akunusuru uwe muangalifu sana Tafuta Dawa moja inaitwa kwa jina hili Habbati sawda na Asali Safi ya nyuki.

Matumizi Twanga hiyo Habbati sawda kama upate gramu 50 twanga uchekeche upate unga uchanganye na Asali safi

ya nyuki nusu chupa ya orange uwe unakula kila siku asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu Vijiko 2 vya kulia wali na

mchana kabla ya kuyla kitu vijiko 2 na usiku kabla ya kula kitu ule hiyo dawa vijiko 2 tumia dawa hiyo kwa muda wa

siku 21 utapona kwa uwezo wake Mungu.

Hiyo dawa ya habbati sawda inapatikana kwenye maduka wanayouza dawa za kisunna hapo mjini kariakoo kaulize utapata.



Habbat Sawda (Nigela Sativa)
 
Uko kwenye msongo wa mawazo na bado hujapata suruhisho.jaribu kujichanganya na watu stress zikizid huwa hivyo.Kama unawaza sana let it go,fanya sana mazoezi pia.maumivu yataisha.
 

acha maneno mengi ya kupima damu sijui VVU.... Na dawa zako za kienyeji zisizo na ishu... Huyo jamaa anaonekana kabisa anaumwa ANGINA... Ni kiashiria namba moja cha heart attack... Na dalili zake ndio hizo.. Siamini kama hospitali zote hizo hawajaona hilo.. Na zaidi anaweza kuwa na high blood pressure...
 
Wewe mkaka una chronic heart failure ni hatari sana wahi hospitali hizo dalili ulizozitaja zote ni za waathirika wa ugonjwa huo....Na hupati tiba umepata mpaka edema kwenye miguu!!Na kuna uwezekano una HBP pia kama alivyosema kinyoba
 
Last edited by a moderator:
Cha msingi,nakushauri upime Nimonia ya mapafu na vidonda vya tumbo.Mi ilishawahi kunisumbua,kila nikipima vipimo vyote vya moyo vinaonesha niko vizuri.Baadae nikakutana na Dr mmoja na kugundua ni nimonia kali ya mapafu na mbavu.Nikapatiwa matibabu nikapona.Mara nyingi inaambatana na vichomi,maumivu makali,kuzunguzungu n.k
 
pole sana..hiyo ni congestive heart failure.Moyo wako umechoka na unaelemewa kazi ya kusukuma damu.Cha msingi ni kuzingatia dawa za moyo ulizokuwa unatumia awali ili kupunguza athari ukiwa unasubiri appointment yako.Na usifanye shughuli nzito za kufanya moyo upge sana.
 
Pole sana mkuu,kwa dalili ulizozielezea inawezekana kabisa ukawa na tatizo la Moyo,aidha moyo kuwa mkubwa au kuwa na Blood Pressure inayoanza. Kajaribu kupima vizuri mkuu.
 
Wote naomba niwashaur mfike hospital kwa uchunguzi wa kina maana naona mtu mwingine ana cardiovascular disease na mwingine dse of the heart.mpaka hx zenu zichujuliwe na daktari ndipo tatizo lenu lipatiwe ufumbuz lakini kwakusimuliana kupitia cm tiba ni ngumu sana.mtadanganywa tuu.hakuna maadili ya daktar anayetibu bila kumuona mgonjwa ni mganga wa kienyeji peke yake.so nendeni hospitali tuu.
 
Acha mambo ya kuponda ushauri wanaotowa wenzako kama kitu hukijuwi faida yake wewe mpe dawa yako au toa ushauri wako wa maana amesema amaekwenda Hospitali ya Muhimbili kuna mzunguko wa mwezi mmoja na hajapata kuonana na Daktari Taja Dawa gani atumie kama unaijuwa sio kuleta kuponda ushauri wa dawa za wenzako wakati wewe hujuwi kitu . Bora kunyamaza kuliko kuleta maneno yako ya pumba hapa jukwaani.
 

Mzizi mkavu uko juu! Naona mtoa uzi ana dalili za heart attack!
 
watanzania wengi wanakufa kwaajili ya kukimbilia dawa za kienyeji ambazo hazijathibitishwa. dawa za kienyeji zitumike kama food supplements tu kama preventive action. lakini watu wengi wamekuwa wanadanganya wagonjwa na maelezo ambayo hayajadhibitishwa au hayana ubora.. mara utasikia kula malimao kadhaa kujitibia na malaria n.k. jambo la msingi ni kwenda hospitali yenye wataalamu na vipimo upate. mimi huwa nawaambia watu MSIKUBALI KUNYWA DAWA AMBAZO HAZIJADHIBITISHWA NA WHO. hizi za kienyeji tuzitumie tu kama supplements zina umuhimu wake mwilini. ndio maana utaona WHO inasema umri wa Mtanzania ni chini ya miaka 50. halafu huko ulaya ni juu ya hapo. hii maanake nini? waafrica bado hatujaelimika kuhusu swala zima la afya.




 

We pimbi babuzako huko kibosho walikiwa wanayumia.panado au wanazijua?mbona wanaishi maisha marefu hivyo?usinyenyekee wazungu pimbi weee.
 
We pimbi babuzako huko kibosho walikiwa wanayumia.panado au wanazijua?mbona wanaishi maisha marefu hivyo?usinyenyekee wazungu pimbi weee.

sasa we unategemea kuishi maisha marefu? unadhani hao babu zangu walikuwa wanakula kuku wa kisasa wanaokuzwa na madawa hadi wanapewa ARV? UNAKULA CHIPS zilizopikwa na mafuta ya transormer halafu ukiumwa unaenda kule alovera... nyambaaaaaaafffffuuuu. matokeo yake hiyo alovera inakuletea maradhi ya figo na ini maana hazina hata vipimo. mnajinywea tu... watu wabishi kama wewe hamfkishi hata miaka 40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…