JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Naomba msaada, tatizo langu ni moyo kwenda mbio na kushitukashituka ovyo. Pia nina maumivu makali ya kifua upande ule wa moyo; maumivu ambayo huandamana na mkono wa kushoto, nyayo za miguu kuwaka moto na mwili kukosa nguvu kabisa.
Aidha nikitaka kufanya tendo la ndoa moyo huzidisha kasi.
Nimepata matibabu ktk hospitali mbalimbali ikiwemo hospitali ya rufaa Bugando bila mafanikio yoyote na sasa hivi nimekuja hospitali ya Muhimbili. Kwa sasa niko dhaifu siwezi kufanya kazi yoyote.
Wadau naombeni msaada kwani hata Muhimbili nina mwezi mmoja sijapata tiba yoyote kulingana na mizunguko iliyopo ktk hospitali hii. NISAIDIENI WENYE MAPENZI MEMA.
KWA MAWASILIANO 0787468179, 0763233106