Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

Othman Qadir

Member
Joined
Apr 19, 2024
Posts
35
Reaction score
82
Habari ndugu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha na amani + upendo baina yetu na familia yetu ambayo Mungu atatubariki.
WAEFESO 5:31
SIFA:
Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 35.
Awe mwenye hofu ya Mungu
Awe tayari kupima HIV
Awe mwenye uhitaji wa mume.

Natanguliza shukrani 🙏
 
1000017382.jpg
 
Back
Top Bottom