Moyo mpweke - nahitaji mke wangu wa maisha

Kaweka mpk bible verse! Yuko serious huyo
Ni kweli kabisaa usemayo. Nipo zaidi ya serious! Yaani namaanisha toka moyoni mwangu kuwa nahitaji mwanamke wa kujenga familia bora pamoja ambaye naye toka moyoni mwake pia ana uhitaji na anataka aheshimike kuwa Mrs somebody.

Hivyo niseme tu 'karibu kwa mwanamke mwenye uhitaji " tufanye maisha ya upendo, furaha na amani pamoja 🙏
 
Umejaribu kuongea na Miss Natafuta akakukwepa?
 
Upweke hauondolewi na mke mkuu, Owa kwa sababu unahitaji msaidizi wa maisha yako,na umepevuka kisawasawa kuweza kuvumilia visa vya mke. Unaweza kudhani kwamba mke atakuletea furaha na amani kumbe ni uongo,yaani ukishindwa wewe binafsi kuwa na furaha na amani usidhani kwamba kuna mtu anaweza kukufanyia hivyo.
 
Watakuja wengi tu mkuu sema chagua mmoja usiwe na tamaa wala mwongo.Usisahau wapo wa ndoa za Kila mwaka.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…