Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Mimi ni kijana umri wangu 35 dini Rc nipo mwanza natafta rafiki wa kike mwenye Nia na malengo ya kuolewa awe mchamungu mwenye chura japo kidogo itapendenza asinipende sana mimi ila aipende ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa ghalama yoyote, aliye tayari aje nbox