JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Mtalaumu sana kuona watu wana roho mbaya. Moyo mzuri watu wanazaliwa nao. Moyo mbaya nao pia wanazaliwa nao. Hauchongwi.
Ukimkuta mtu ana roho mbaya, muonee huruma; ni mlemavu wa moyo...
Ukimkuta mtu ana roho mbaya, muonee huruma; ni mlemavu wa moyo...