Moyo Mzuri Hauchongwi

Moyo Mzuri Hauchongwi

JembeNaNyundo

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2016
Posts
533
Reaction score
652
Mtalaumu sana kuona watu wana roho mbaya. Moyo mzuri watu wanazaliwa nao. Moyo mbaya nao pia wanazaliwa nao. Hauchongwi.

Ukimkuta mtu ana roho mbaya, muonee huruma; ni mlemavu wa moyo...
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu si vingine....[emoji135] [emoji135]
 
Back
Top Bottom