Moyo uliao machozi....!

Likuepukalo una heri nalo. Wala usikubali akutembeze uchi,baki na msimamo wako na mungu atakuongoza. Pole sana.
 
Kwa maelezo haya mi naona huyo hamuendani interests, yaani you don't match kabisa. Kifupi he is not of your type. Hata ukilazima hiyo ndoa itakuwa ni migogoro mitupu. We dada endelea tu kumuomba Mungu atakupa mnaeendana.
 
Pole sana aisee. Mi nafikiri mtu akikuacha nawe muache, sioni sababu ya we kuomboleza kila siku kwa ajili ya mtu ilhali ye anatanua tu. By the way nyie sio mwili mmoja unachohangaikia ni nini? Value your time achana nae.
 
ooh dear ,umenifanya nitoke machozi ,, hayo tumesha pitia ayo mambo.. bora usikumbushe ,, pole sana ,,
 
Hatimae nimefikia mwafaka. Its over! Kila m2 kachukua njia yake. Hope i'l recover soon
 

...daaahhh, Too soon for that...hata moyo haujapoa tayari unataka mwingine?
Ni mapema mno kuombea 'mpenzi mpya!' ...inaonekana funzo halijakuingia wewe.
 
Pole sana,hayo yote ni majaribu yatakwishatu.Once again pole sana mpendwa.
 
Sounds like ur lookin for a partner than greevin for the broken heart
 


Shairi zuri sana hili.
 
Kwanza we Dr. wa ukweli unaonekana unakimbizwa. Hivi hiyo application akiituma akite umeshakamatwa na huyo mbuni itakuwaje? Lakini nampa pole any way.
 
Pole sana sabry. Tulia kwanza hadi moyo upone. Kutafuta mpnz kwa kujielezea kuwa ulishatendwa hapo nyuma haimaanishi kuwa utakayempata na yeye hatokuvunja moyo.
 
Jamani pipo hamkuelewa! Sio kwamba ndio namtafuta, ila ni maombi nampelekea manani, muda ukifika nimpate mwenye la kweli pendo, kwa sasa kuwa na mwingne ni kujiua
 

Kifupi mlikuwa hamfanani ipasavyo. Mwenzako bado anahangaika na dunia anatafuta variety hajawa tayari kuoa MKE. Atatulia tu baada ya kuwapata warembo wa aina hiyo wa kutosha, msubiri si kitanbo atarejea.'' je unadhani hizo pesa na cheo ameshazoea?. Nakushauri sana tulia tuliza kichwa omba mungu wako ;kama unavyosema ndio ulivyo nakuhakikishia utapata mume muda si mrefu.
 
Njoo kwa mwana sanaa upate pumziko la muda...No guaranteed utapata la milele...Agreed? sema ndio...
 
Achana na hao ma'karume kenge, fumbua macho yako, ruhusu moyo wako kumsahau na kutafuta mwingine wa kuendana na wewe, mwenye kujua kupenda na umpende pia.
 
<br />
<br />
ya kweli haya? Au ndo porojo zetu wana JF?
 

Masikini Sabry001 Pole!!!!!!!!!!!!!!!! Naona umeshatengeneza verse, hili goma tulipeleke kwa Jide au Diamond watusaidie kuingiza vocals. Sitaki kabisa this kind of business, kuwekeza kwenye mapenzi hapana, big no!!!!!!!!!!!! Nilifanya zamani not now, labda na wewe bado upo kwenye zamani yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…