Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Masikini Sabry001 Pole!!!!!!!!!!!!!!!! Naona umeshatengeneza verse, hili goma tulipeleke kwa Jide au Diamond watusaidie kuingiza vocals. Sitaki kabisa this kind of business, kuwekeza kwenye mapenzi hapana, big no!!!!!!!!!!!! Nilifanya zamani not now, labda na wewe bado upo kwenye zamani yangu.
<br />Am in a very very bad situation! Niliyempenda anapendwa na wengi. Kwa moyo wangu wote nilimdondokea, nikampa kwa kadri ya uwezo wangu, leo penzi limenitoa chozi. Nilidhani twashabihiana kwa tabia na mambo tuliopitia ktk maisha, nikajua atanipa pumziko nae alipate kwangu, ila yamegeuka kuwa machungu, penzi limeniumiza sitamani kupenda tena. Nilimuona wa maana mbele ya uso wangu, cheo na hadh vikanipumbaza, nikifikiri vitamfanya awe na adabu kumbe kalumekenge tu. Niliwekeza sana ktk penz hlo, nikajua litadumu, juhud zangu bure, leo limepeperuka. Ashukuriwe aliyeyaumba mapenzi kwani likiwa shwari ulimwengu hutulia ila ikiwapo shari dunia hulia. Natamani wa ukweli ajitokeze, anifute yangu machozi, anipe pendo lake nami nitampa lile la milele.
falling down does not mean being buried mamii. ups and downs ni sehemu ya maisha. just give yourself some time to heal and adjust. life must continue and good should prevail
Mnajuaje kama alishatake time ya kutosha leo ndio kaibuka na hii single?ushaur mzuri..... namsisitiza atake tym to heal.. asije dondokea pabaya zaid