Moyo uliao machozi....!

Moyo uliao machozi....!

Masikini Sabry001 Pole!!!!!!!!!!!!!!!! Naona umeshatengeneza verse, hili goma tulipeleke kwa Jide au Diamond watusaidie kuingiza vocals. Sitaki kabisa this kind of business, kuwekeza kwenye mapenzi hapana, big no!!!!!!!!!!!! Nilifanya zamani not now, labda na wewe bado upo kwenye zamani yangu.
<br />
<br />
Am on ma way out of it gal!
 
Am in a very very bad situation! Niliyempenda anapendwa na wengi. Kwa moyo wangu wote nilimdondokea, nikampa kwa kadri ya uwezo wangu, leo penzi limenitoa chozi. Nilidhani twashabihiana kwa tabia na mambo tuliopitia ktk maisha, nikajua atanipa pumziko nae alipate kwangu, ila yamegeuka kuwa machungu, penzi limeniumiza sitamani kupenda tena. Nilimuona wa maana mbele ya uso wangu, cheo na hadh vikanipumbaza, nikifikiri vitamfanya awe na adabu kumbe kalumekenge tu. Niliwekeza sana ktk penz hlo, nikajua litadumu, juhud zangu bure, leo limepeperuka. Ashukuriwe aliyeyaumba mapenzi kwani likiwa shwari ulimwengu hutulia ila ikiwapo shari dunia hulia. Natamani wa ukweli ajitokeze, anifute yangu machozi, anipe pendo lake nami nitampa lile la milele.
<br />
<br />
kumbe shairi.
 
Kwanini unaangalia upande mmoja??

Kwa nini usitoe machozi ya furaha ya kuwa Mungu amekuonyesha unafiki wa yule uliyetaka kumpa penzi lako la milele?

Kwanini usitoe chozi la furaha kwa kuwa umeweza kugundua kuwa huyo jamaa si wako muda huu badala ya baadaye ambako angeakuwacha na familia inayoangaika...

Ukiangalia upande wa pili ni furaha na vigelegele...Empty your chest and smile again.. Umepata Bingo la kujua unafki wa yule uliyedhani ni wako!
 
falling down does not mean being buried mamii. ups and downs ni sehemu ya maisha. just give yourself some time to heal and adjust. life must continue and good should prevail

ushaur mzuri..... namsisitiza atake tym to heal.. asije dondokea pabaya zaid
 
Ya kawaidasana haya mkuu, mateso ya mapenzi yapo na ukiyapitia nafikiri unakomaa zaidi na shukuru Mungulimetokea kuliko angejificha mpaka mkafunga pingu, huyo hakuwa wako hata Mungu alishaandika awe wa mwingine, wakati mwingine tusilalamike bali tumtukuze Mungu kwani kila jambo lina maana yake kubwa sana.....all the best katika searching yako
 
Back
Top Bottom