Mzee wangu tangu akiwa mtoto aligundulika kuwa na moyo mkubwa na upo upande wa kulia, Tatizo hili limesababisha awe mgonjwa wa Pressure mara kwa mara. Miguu pia inamsumbua kwa nyakati fulani, Kwa sasa anashindwa kupumua vizuri kwani moyo unazidi kukua na kuziba sehemu ya mapafu. Amewahi kuhudhuria kliniki Katika Hospitali ya Muhimbili na amewahi kutumia vidonge mbalimbali vya maradhi ya moyo.
Umri wake kwa sasa ni miaka 65. Naomba kwa yeyote mwenye kujua tiba ya Mzee wangu anipe msaada.