Moyo wa binadamu upande wa kulia; umewahi kuona hii?

Moyo wa binadamu upande wa kulia; umewahi kuona hii?

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Mzee wangu tangu akiwa mtoto aligundulika kuwa na moyo mkubwa na upo upande wa kulia, Tatizo hili limesababisha awe mgonjwa wa Pressure mara kwa mara. Miguu pia inamsumbua kwa nyakati fulani, Kwa sasa anashindwa kupumua vizuri kwani moyo unazidi kukua na kuziba sehemu ya mapafu. Amewahi kuhudhuria kliniki Katika Hospitali ya Muhimbili na amewahi kutumia vidonge mbalimbali vya maradhi ya moyo.

Umri wake kwa sasa ni miaka 65. Naomba kwa yeyote mwenye kujua tiba ya Mzee wangu anipe msaada.
 
Mkuu moyo kuwa kushoto ni tatizo la kuzaliwa (congenital) moyo kukua nadhani ni cardiomyopathy.tafadhari rudi muhimbili uwaone ma cardiologist wampatie paliative treatment! Mpe pole mzee.
 
Mkuu moyo kuwa kushoto ni tatizo la kuzaliwa (congenital) moyo kukua nadhani ni cardiomyopathy.tafadhari rudi muhimbili uwaone ma cardiologist wampatie paliative treatment! Mpe pole mzee.

sijaelewa hapa. kulia ndio tatizo na kushoto ni normal au?
 
Haha, tunaiita dextrocardia lakini sio sababu ya kumfanya awe mgonjwa wa moyo na mara nyingi inakua associated with situs inversus yaan organ ambazo si pair mwilini mfano ini na spleen kuhama position zao pia. Anyways hayo c muhim cha muhim mzee wako atakua na dilated cardiomyopathy inayompelekea kupata heart failure au heart failure secondary to hypertension. Na so far nachoona anapata ni pulmonary oedema pamoja na lowe limb oedema cjajua but i think ascites is on the way pia. Akafante echo na ecg then wamwanzishie digoxin 0.5mg
 
Back
Top Bottom